Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Raisi mpya wa wa Ghana ameshutumiwa kunakili hotuba nzima ya Raisi wa USA wakati anaapishwa, hii imenikumbusha wakati wa Kampeni za uchaguzi hapa nyumbani, Mgombea wa ukawa E. Lowasa aliulizwa vipi ni vipaumbele vyako endapo utashinda Uraisi, akajibu ,,Tony Blair alipoulizwa nini vipaembele vyako endapo utashinda uchaguzi wa nchi wa Uingereza alisema education, education education" na mimi nasema elimu, elimu , elimu tangia hapo Waafrika wamfuatao Lowasa mpaka leo hii ukiwauliza chochote utasikia Lowasa alisema elimu, elimu, elimu wamesahau hata kwamba huo msemo Lowasa aliuchukuwa ktk kwa Tony Blair Kiongozi wa nchi ya Uingereza!
Hii ndo Afrika yetu !!
Hii ndo Afrika yetu !!