Na anaweza kuwa wa maisha labda aamue mwenyewe kuachia ngazi. Ndo huo huo ufalme anaojiaminisha kuwa nao kwa taifa zima la Wadanganyika.huko ni mbunge kwa miaka zaidi ya 30
Wadau mimi nimetoka Monduli mwezi wa nne mwaka huu,nimeona barabara za hovyo,madaraja yaliyochukuliwa na maji,wamasai wanaokunywa maziwa tu msimu wote wa masika na uji tu au ugali msimu wote wa kiangazi,marternal death rate za ajabu,Trekta ikitumika kama ambulance,soko na dispencary zaidi ya km 70.
Mimi sikuona maamuzi magumu,wadau labda mmeyaona?
Angeyatekeleza hayo uliyoyaona leo mtoa posti ungerudi na kusema Lowassa ni mbaguzi kajenga kwao. Watanzania kazi tunayo!
Monduli!
Toka umejua kusoma umekutana na spelling mistakes ngapi?
Naomba unitajie vitabu hata vitatu ambavyo umewahi kusoma nikuonyeshe spelling mistakes!Hata the newest versions
kitabu cha kwanza ni hiki cha lowassa na maamuzi magumu mondoli kilichoandikwa na mwandishi paul alex version ya 26th may 2015
kuna maelezo mengi kwa mtu wa namna yako,au umelewa,au unataka kuhamisha mjadala,au ni mchangiaji wa kulipwa uliyefunga fikra zako,au ni mtu tu usiejua kutengeneza hoja.
Sidhani kama kuna tulichobakiza mimi na wewe,kwaheri.
Edo ni mwizi, mgonjwa
Jimboni Monduli wamemchoka basi tu wanamwogopa kwa vile alikuwa PM (rais mdogo). Masai pumbav sana