Lowassa na kauli za kilaghai

El anakauli za kilaghai
Mwiz
Na wengne wanasema muua-i
 
Jamaa nilivyokuwa namuamini,aliposema tu nitamleta balali!Hapo ndo nikaamini jamaa ni bogasi
 
Jamaa nilivyokuwa namuamini,aliposema tu nitamleta balali!Hapo ndo nikaamini jamaa ni bogasi

Mimi nilikosa imani nae aliposema kwamba nyumba za nyasi zote ataweka bati ndani ya siku 45 nikajua jamaa akili haipo sawa..nyumba ya tembe uingonge bati si inashuka chini yote..
 


hata ungeandika kitabu kama bibilia kumkashifu lowasa hatudanganyiiiiiiki,ni mabadiliko na lowasa na lowasa na mabadiliko.
 
Kwaiyo unataka serikali iwachimbie watu vyoo?? ...nimesukitishwa na reasoning yako
 

Kwaiyo ulitaka serikali iwachimbie watu vyoo? ? . nimesikitishwa na reasoning yako
 
Ninacho maanisha bwana brighton ni kwamba kina vitu vya msingi mtu kama mtu unaweza kufanya...na unaiacha serikali ifanye mengine....sasa ndugu yetu asingetumia mfano wa choo, angetumia mifano mingine...ukisubiria serikali ukichimbie choo ambacho wewe unajisaidia...mtu wa namna hio anaweza subiria serikali imsomeshe mtoto wake yeye ame relax...lets be careful how we reason and argue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…