Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,277
- 8,554
Kwanza niseme wazi kwamba mimi ni mwanaCHADEMA mtiifu,na nimefurahishwa sana na Lowasa kuingia UKAWA.
Tumechoka kuwa wasindikizaji kwa miaka ishirini huu ni wakati wa kuchukua nchi sababu miaka yote tumekuwa tukiletewa watu na kuambiwa ni wasafi mwisho wanatugeuka na kuwa wezi shupavu.Mwaka huu nitachagua huyo fisadi ili akawe msafi ikulu
Hoja yangu iko hapa,je nini msimamo wa Lowasa kuhusu katiba pendekezwa,maana alikuwapo bungeni na aliipigia kura ya ndiyo. Je mtazamo wake ni serikali tatu au mbili,tume ya maadili iwepo au isiwepo,vipi kuhusu miswada ya gas. Atuambie ana malengo gani na nchi hii na democrasia yake.
Kama amebadili msimamo aseme hadharani,ndipo atapata kura yangu, atuambie anataka ya Warioba au ya swahiba wake Chenge, anataka mbili au tatu.