Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,640
Mdahalo wa Lowassa ataufanya na wapiga kura wake, hiyo midahalo yenu FEKI hatuna haja nayo, mbinu zenu za kizamani tushazishtukia mutachora chini NYAMBAFU...
Kizamani kivipi wakati miaka kadhaa tumeshudia mataifa yanayoongoza kiuchumi kama USA.viongozi wa huko wanafanya midaharo....wapiga kura wafanye midaharo kivipi kwani wao ndo marais au wao ndo Lowass na tuhuma za Richmond?