Lowassa na jitihada za kuukwepa mdahalo

Lowassa na jitihada za kuukwepa mdahalo

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~

1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!

2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.

UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.

WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
 
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:

Mgombea wa ccm tena Rais wa nchi alikimbia mdahalo hamkuongea, kwann iwe nongwa kwa Lowassa. Tangu lini ccm wakashiriki midahalo. Watanzania hapa tulipo tunajua nani anafaa kuwa rais. Mdahali hauna ishu kwa sasa.
 
tulishafanya maamuzi jamani..hivi ccm hamuelewi tu...Mabadiliko kwanza hayo mamidahalo baadaye sana.over
 
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:

Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~

1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!

2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.

UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.

WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:

Huyo mzee ni dhaifu katika midahalo, ponapona yake ni kutegemea wasaidizi wake lni yeye mwenyewe hana uwezo wa kuhimili. Taifa linahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kujenga hoja,uwezo wa kutetea kile anachoamini, sasa kama hawezi kuongea, atakuwa rahisi wa namna gani! Itakuwa vituko kuwa na rais kama mzee Lowasa.
 
Mdahalo wa Lowassa ataufanya na wapiga kura wake, hiyo midahalo yenu FEKI hatuna haja nayo, mbinu zenu za kizamani tushazishtukia mutachora chini NYAMBAFU...
 
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:

Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~

1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!

2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.

UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.

WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:

Ni Watanzania wangapi wanasubiri mdahalo huo ili kuamua nani wampigie kura tarehe 25 Oktoba?

Naamini wengi walishaamua. Mimi pia. Hata awamu ambazo midahalo haikufanyika uchaguzi ulifanyika. Na haielekei kwamba walichagua Rais mbaya kutokana na kukosekana mdahalo maana aliyechaguliwa 2005 (bila mdahalo, bila shaka), alichaguliwa tena 2010 bila mdahalo pia. Na kama ulikuwa uamuzi mbaya basi wananchi wa Tanzania hawako sawa upstairs maana hawajifunzi kutokana na makosa. Ndivyo watakavyofsnya mwaka huu pia. Maamuzi tayari. Midahalo ni kujifurahisha tu.
 
Actions speaks louder than thousand words...
Si tunataka mabadiliko si midahalo
 
Mdahalo ni muhimu hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linahitaji kupata kiongozi wake wa juu, Wagombea wote ktka nafasi ya urais ni vema wakashiriki midahalo ili wapiga kura waweze kuchambua zipi ni pumba na zipi ni hoja stahiki katika maendeleo ya Taifa letu.
 
lowasa na jitihada za kuukwepa mdahalo:

Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa mhe.e.lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha e.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~

1.kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!

2:chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha e.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.

Umuhimu wa mdahalo:jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.

Wito kwa watanzania:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
naona bado posho na bando ulizolipiwa hazijaisha zikiisha utatupisha tu. Ila niaaibu kujidhalilisha na kuudhalilisha utu wako kwa kununuliwa
 
Haiwezekani mdahalo kutokea, nawahakikishia HAIWEZEKANI.

CCM haina hoja ya kujibu, na inatambua kuna maswali mwengi ambayo hawawezi kuyajibu, ubabe wa CCM umeleta maswali mengi kwa watumishi, kauli mbovu za viongozi wa chama(wasio serikalini) zimechefua na kuleta hasira, utawala mbovu, huduma duni za kijamii n.k Na hapa wataendelea majukwaani na nyuma ya keyboards kubwabwaja tu.

On the other hand, kusema Lowassa anakimbia kwa sababu ya Afya yake, unadhani anashindwa kuomba mdahalo akiwa amekaa tuli?
 
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:

Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~

1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!

2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.

UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.

WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:

mdaharo wanini wakati mwenyekiti wenu amekimblia marekani baada ya wenyeviti wa ukawa kutaka mdaharo naye
ni kwa nini mdaharo ni muhimu sasa si wakati ule ccm walipowazuia watia nia kuhudhuria midaharo??

je muudaharo mwaka huu ndo umekuwa muhimu kuliko wakati wote ule, kumbuka mwaka 2010 ccm walikimbia midahalo ya ubunge na uraisi,

na kuna wakati uliandaliwa mdahalo wa makatibu wakuu kinana alimkimbia dr. slaa,

eti leo ccm ndo wana confo. la kutaka midahalo. mmechelewa aisee

na kwa taarifa yenu tuimeishachagua raisi hizo campaign ni formality tu. tunasubiri kumwapisha EDward Lowasa. pelekeni huko lumumba midaharo yenu ya kifisadi mkaulizanae nani fisadi kuliko mwenzake
 
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:

Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~

1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!

2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.

UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.

WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
Mwaka 2005 CCM mlikataa midaharo tena kwa kutoa waraka kabisa na 2010 pia mlitoa waraka wa kuzuia midaharo na TBC walipolazimisha bila wanaccm kuhudhuria matokeo yake tuliona jinsi mkurugenzi mkuu wa TBC wakati huo Tido mhando alivyofanywa. Sasa je ni nini kimefanya mwaka huu mng'ang'anie midaharo?! mzarau mwimba huota tende, haya yakiwapata kama yaliyompata mgombea wenu wa ubungo mwaka 2010 mtasemaje ?
 
Lowasa hajashiriki kuandika ilani ya chama yeye ni mtekelezaji tu. Hao viongozi walioandaa ndio wakutanishwe tusiwapotezee muda wagombea wetu
 
LOWASA NA JITIHADA ZA KUUKWEPA MDAHALO:

Mgombea wa uraisi kupitia umoja wa ukawa Mhe.E.Lowasa anafanyiwa jitihada za kutaka kusaidiwa au kuukimbia mdahalo utakaoandiliwa kwa ajili ya wagombea urais vya vyama vyote nchini. Chama cha Chadema ambacho ndicho mgombea huyo anapotoka kinafanya juhudi kubwa ya kuhakikisha E.lowasa kwa namna yoyote ile isiweze kuudhuria au kushiriki nae.Mikakati iliyoandaliwa kutekeleza hilo ni kama ifutayo:~

1.Kuupinga mdahalo huo kuwa usiwe wa wagombea wa urais pekee bali wawepo na wanachama wa vyama husika(Hii inalengo la kutaka viongoz wa ukawa washiriki mdahalo huo kwa kuhofia Bw.lowasa ataweza kuongea kutokana na hali yake kiafya na pia atashindwa kujitetea kwa tuhuma zinazomkabili,na hivyo wananchi watamuona hafai!

2:Chama kinaandaa uwezekano wa kumsafirisha E.lowasa nje ya nchi kwa kigezo cha matibabu ili siku hiyo ya mdahalo asiwepo nchini.

UMUHIMU WA MDAHALO:Jambo hilo linatoa nafasi nzuri kwa wananchi kuwapima wagombea uwezo wao kiakili, kifikra na kimkakati kwa kuwapa nafasi wahusika kujieleza namna gani wakipewa zamana wataweza kuindesha nchi.Hoja juu ya ilani,ahadi na mikakati yao wataweza kuzieleza vizuri ikiwa ni pamoja na uwezekano wa utekelezaji wake.

WITO KWA WATANZANIA:
Nchi hii ni yetu,imefikia hatua ya kupambanua kati ya pumba na mchele kwa ajili ya manufaa yetu ya sasa na baadae!Tuamke,tunahitaji mdahalo wa wagombea wote wa urais ili tujue jinsi gani tutakae mpa nafasi hiyo ataendesha nchi yetu kwa mtazamo tutaona unafaa:
 
Wewe na familia yako ndo mnamhitaji awe Rais wa familia yenu.
 
hayo mabadiliko yanaanza kunitia mashaka,yaan mnatetea hata jambo ambalo la msingi,rais ni mhimu tuone uwezo wake kitaifa na kimataifa sio domo zege,
 
Na ndio maana mbatia anona hii nchi kama ya baba yk kila kitu anataka kuongea yy. Tunawataka xn wagombea urais tuwahoji wataifanyia nn tanzania
 
Join Date : 11th July 2015
Nadhani uchaguzi ukiisha na kibarua chako kitakuwa kimefika kikomo!
 
Back
Top Bottom