Lowassa na genge lake Vs gesi yetu!

Watanzania haturudi tena Misri tumeshadhamiria kufanya mabadiliko.Lowassa atosha akiwa rais tutapata katiba mpya ya

wananchi na hapo ndo mwisho wa mambo yote.Maendeleo kwa kwasi ya ajabu
 

Kwa nini mlipitisha haraka misheria ya Gesi hata akidi bungeni haikutimia?Ukawa utafumua hiyo sheria na kuweka mpya inayolinda maslahi ya Watanzania wote siyo kama CCM mlivyojipanga kupiga.
 
Mtasema sana mwaka huu lakini hatusikii mnasema nini. Subirini maumivu october. Bvr imesaidia sana kuongeza wapiga kura. Vijana wengi wamechukua kadi kama vitambulisho lkn imekuwa ni kichinjio sasa
ccm kaeni mkao wa kutoa machozi
 
Lowasa ni fisadi namba moja hafai kwa lolote zaidi ya ufisadi wake tumkatae kwa nguvu zote.
 
Kwani Leo ni tar ngapi maana nimechoshwa kusikia habari za uchaguzi nataman kesho tu mambo yapite ili tufanye mingine
 


Mkuu usiogope na vitisho vya bodaboda Edward hawi Rais kwani bodaboda hawajui historia ya nchii hii ukimpa full tank lita kumi anakuabudu kumbe unakwenda kumchinja na ndiyo maana wengi wao hata ukimuuliza anatoka kata gani hajui sasa hao ndo mtaji wa edo
 
Tusiache pia kujiuliza Magufuli na gene la nafisadi vs gesi yetu
 
CCM mmefanyia nini dhahabu, tanzanite, almasi, vivutio vya utalii na kadhalika tangu tupate uhuru? Tukiwapa na gesi yetu si mtapasuka matumbo?
 
CCM mmefanyia nini dhahabu, tanzanite, almasi, vivutio vya utalii na kadhalika tangu tupate uhuru? Tukiwapa na gesi yetu si mtapasuka matumbo?

Hayo Maswali muulize Fisadi Lowasa na Genge lake, Madini yetu yako wapi?
 
Watanzania Lowassa hatokuwa peke yake. Atakuwa na timu nzima ya makamanda nyuma yake. Nchi haitawaliwi na mtu bwana CCM msitudanganye. Kinatawala chama. Viva CHADEMA viva UKAWA!
 
Watanzania Lowassa hatokuwa peke yake. Atakuwa na timu nzima ya makamanda nyuma yake. Nchi haitawaliwi na mtu bwana CCM msitudanganye. Kinatawala chama. Viva CHADEMA viva UKAWA!

Kama tu kwenye kumchukuwa fisadi Lowasa chadema haikuheshimu hata Katiba yake yenyewe iliyojiwekea iweje wakishika Dola?
Nchi haifanyiwi majaribio hata siku Moja, kama mnataka Majaribio fanyeni kwenye udiwani!



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…