VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mwanasiasa Edward N. Lowassa ni mwanaCCM mwenzangu hasa. Lakini,hanizuii kusema ukweli juu yake. Natambua nia yake ya kutaka Urais wa nchi hii.Natambua tafiti mbalimbali zinazombeba Lowassa kama Mgombea mtarajiwa wa Urais ndani na nje ya CCM. Natambua hamu na shauku aliyonayo Lowassa kuongoza Tanzania. Kaa Rais.
Amekuwa akijipambanua kama mtu wa maamuzi magumu. Na kama mwenye kipaumbele cha elimu. Chapuo zake zote zimejikita huko. Lakini,Lowassa si mgombea sahihi kwa CCM na watanzania. Ni kutokana na ya maji kwenye pakacha. Hata yajae namna gani,baada ya muda huisha yote na pakacha kubaki tupu.
Tatizo lililopo nchini kwasasa ni ufisadi na uwepo wa mafisadi. Pamoja na uwepo wa rasilimali na nguvu kazi (maji), ufisadi (pakacha) hukwamisha. Lowassa hajawahi,imaneno na kivitendo,kukemea pakacha hili. Ima kwa bahati mbaya au makusudi,Lowassa amekuwa akikwepa ajenda hii. Anakwepa tatizo kuu. Hana uwezo tuutakao mwakani na kuendelea. Bado hafiti.
Tunataka Rais anayechukia ufisadi na mafisadi kwa maneno na vitendo. Kwakuwa hilo ndilo pakacha linalopoteza maji ya Tanzania yetu. Na hata sura yake ioneshe hivyo. Lowassa kwa hili bado hajajipambanua vyema. Labda tusubiri zaidi.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
point sana hii nmekusoma Lowassa sijawahi kumuona anakemea ufisadi narudia tena suala la ufisadi ambalo ni tatizo kuu katika nchi zinazoendelea hazungumzii so fikiria jenga picha utawala wake utakuwaje
Jembe la kukata mimea shambani na kuacha magugu, jembe gani hilo?Kwa nini Watz wanamuita Jembe?
Jembe la kukata mimea shambani na kuacha magugu, jembe gani hilo?
Kinachowuita LOWASSA jembe mtaani siyo watu bali pesa yake ya kifisadi anayomwaga kama njugu, na hili ndilo la kukataaWatanzania ndiyo wanaomuita Lowasa Jembe na mchapakazi, sasa swali ni kwamba ni kwa nini? Kwa nini wasimuite Pinda hivyo au sijui Sumaye?
Ingia Mtaani popote pale Tz na waulize tu Wananchi wa kawaida kuhusu Lowasa na wengi wao watakwambia ya kwamba jamaa ni Mchapakazi na pia ni fisadi, sasa kuna sababu kwa nini Watz wanamuona hivyo Lowasa, na kama ndivyo basi mimi kwangu ni poa tu na anafaa kama anapiga kazi na nchi inakwenda mbele!
1.bongo ukiiba wewe ndo mjanja 2.ukiwa unatoa sana fedha hata bila kujua umetoa wapi na zina lengo gani wewe ndo jembe 3.wanafanya comparison na mkuu anayetawala sasa hiviKwa nini Watz wanamuita Jembe?
Na ndiyo maana linapokuj suala zito kama la ESCROW , huyu jamaa anasepa kwenda nje kutibiwa, anaogopa sana issue zinazohusu ufisadi, laiti angekuwa msafi asingeogopa kabisa kuwepo mjengonipoint sana hii nmekusoma Lowassa sijawahi kumuona anakemea ufisadi narudia tena suala la ufisadi ambalo ni tatizo kuu katika nchi zinazoendelea hazungumzii so fikiria jenga picha utawala wake utakuwaje
Umeonae, mbaya sana1.bongo ukiiba wewe ndo mjanja 2.ukiwa unatoa sana fedha hata bila kujua umetoa wapi na zina lengo gani wewe ndo jembe 3.wanafanya comparison na mkuu anayetawala sasa hivi
Mwanasiasa Edward N. Lowassa ni mwanaCCM mwenzangu hasa. Lakini,hanizuii kusema ukweli juu yake. Natambua nia yake ya kutaka Urais wa nchi hii.Natambua tafiti mbalimbali zinazombeba Lowassa kama Mgombea mtarajiwa wa Urais ndani na nje ya CCM. Natambua hamu na shauku aliyonayo Lowassa kuongoza Tanzania. Kaa Rais.
Amekuwa akijipambanua kama mtu wa maamuzi magumu. Na kama mwenye kipaumbele cha elimu. Chapuo zake zote zimejikita huko. Lakini,Lowassa si mgombea sahihi kwa CCM na watanzania. Ni kutokana na ya maji kwenye pakacha. Hata yajae namna gani,baada ya muda huisha yote na pakacha kubaki tupu.
Tatizo lililopo nchini kwasasa ni ufisadi na uwepo wa mafisadi. Pamoja na uwepo wa rasilimali na nguvu kazi (maji), ufisadi (pakacha) hukwamisha. Lowassa hajawahi,imaneno na kivitendo,kukemea pakacha hili. Ima kwa bahati mbaya au makusudi,Lowassa amekuwa akikwepa ajenda hii. Anakwepa tatizo kuu. Hana uwezo tuutakao mwakani na kuendelea. Bado hafiti.
Tunataka Rais anayechukia ufisadi na mafisadi kwa maneno na vitendo. Kwakuwa hilo ndilo pakacha linalopoteza maji ya Tanzania yetu. Na hata sura yake ioneshe hivyo. Lowassa kwa hili bado hajajipambanua vyema. Labda tusubiri zaidi.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Watanzania ndiyo wanaomuita Lowasa Jembe na mchapakazi, sasa swali ni kwamba ni kwa nini? Kwa nini wasimuite Pinda hivyo au sijui Sumaye?
Ingia Mtaani popote pale Tz na waulize tu Wananchi wa kawaida kuhusu Lowasa na wengi wao watakwambia ya kwamba jamaa ni Mchapakazi na pia ni fisadi, sasa kuna sababu kwa nini Watz wanamuona hivyo Lowasa, na kama ndivyo basi mimi kwangu ni poa tu na anafaa kama anapiga kazi na nchi inakwenda mbele!
Mwanasiasa Edward N. Lowassa ni mwanaCCM mwenzangu hasa. Lakini,hanizuii kusema ukweli juu yake. Natambua nia yake ya kutaka Urais wa nchi hii.Natambua tafiti mbalimbali zinazombeba Lowassa kama Mgombea mtarajiwa wa Urais ndani na nje ya CCM. Natambua hamu na shauku aliyonayo Lowassa kuongoza Tanzania. Kaa Rais.
Amekuwa akijipambanua kama mtu wa maamuzi magumu. Na kama mwenye kipaumbele cha elimu. Chapuo zake zote zimejikita huko. Lakini,Lowassa si mgombea sahihi kwa CCM na watanzania. Ni kutokana na ya maji kwenye pakacha. Hata yajae namna gani,baada ya muda huisha yote na pakacha kubaki tupu.
Tatizo lililopo nchini kwasasa ni ufisadi na uwepo wa mafisadi. Pamoja na uwepo wa rasilimali na nguvu kazi (maji), ufisadi (pakacha) hukwamisha. Lowassa hajawahi,imaneno na kivitendo,kukemea pakacha hili. Ima kwa bahati mbaya au makusudi,Lowassa amekuwa akikwepa ajenda hii. Anakwepa tatizo kuu. Hana uwezo tuutakao mwakani na kuendelea. Bado hafiti.
Tunataka Rais anayechukia ufisadi na mafisadi kwa maneno na vitendo. Kwakuwa hilo ndilo pakacha linalopoteza maji ya Tanzania yetu. Na hata sura yake ioneshe hivyo. Lowassa kwa hili bado hajajipambanua vyema. Labda tusubiri zaidi.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Swali ni, kwamba ni kwa nini Watanzania wanamuita Jembe?
.. Lowassa hajawahi, kimaneno na kivitendo,kukemea pakacha hili. Ima kwa bahati mbaya au makusudi,Lowassa amekuwa akikwepa ajenda hii. Anakwepa tatizo kuu. Hana uwezo tuutakao mwakani na kuendelea. Bado hafiti.
Tunataka Rais anayechukia ufisadi na mafisadi kwa maneno na vitendo. Kwakuwa hilo ndilo pakacha linalopoteza maji ya Tanzania yetu. Na hata sura yake ioneshe hivyo....
Mwanasiasa Edward N. Lowassa ni mwanaCCM mwenzangu hasa. Lakini,hanizuii kusema ukweli juu yake. Natambua nia yake ya kutaka Urais wa nchi hii.Natambua tafiti mbalimbali zinazombeba Lowassa kama Mgombea mtarajiwa wa Urais ndani na nje ya CCM. Natambua hamu na shauku aliyonayo Lowassa kuongoza Tanzania. Kama Rais.
Amekuwa akijipambanua kama mtu wa maamuzi magumu. Na kama mwenye kipaumbele cha elimu. Chapuo zake zote zimejikita huko. Lakini,Lowassa si mgombea sahihi kwa CCM na watanzania. Ni kutokana na falsafa ya maji kwenye pakacha. Hata yajae namna gani,baada ya muda huisha yote na pakacha kubaki tupu.