Lowassa na agenda ya umasikini

Lowassa na agenda ya umasikini

sina jingine zaidi ya kuamini umasikini wa watanzania, matatizo katika elimu na ajira ni wakati muafaka sasa kupata msukumo mkubwa katika utendaji na utatuzi wake. Daima ukisema unatenda huwa hivyo tunakuamini na tupo wote katka safari ya matumaini. Mungu awe upande wako daima

haya unawaza au ulimsikia alivyokuwa anahutubia uwanja wa samora iringa alisema anashangaa njombe ilikuwa kwenye mikoa ya big four kwenye uzalishaji mazao ya kilimo sasa haipo tena yeye ataipeleka kwenye big five akajistukia ameishusha akabadili akasema atahakikisha njombe inaingia big zero kwenye kilimo na kuhusu rasimali za nchi alisema iringa mnayo ardhi safi na baridi ya kutosha ambayo inaweza watoa kwenye umaskini
 
Daaahh sasa kama alishindwa kuangamiza umaskini akiwa waziri mkuu je ataweza akiwa rais???? Tusiwe wasahaulifu enyi watz...hawa wanasiasa wasitufanye watoto!!
 
Kwahiyo Serikali ya CCM haitekelezi miradi yake ili Watanzania walendelee kuwa maskini ili mpigie kampeni umesikini wao? Wezi tu ninyi,, tumewajua sasahivi mtaji wenu ni umasikini wa Watanzania..
 
Jitahidi uwe unakuja na story mpya hizo zilipendwa.hakuna wa kumzuiya lowassa kwenda ikulu labda Mungu wake tu,na alipangalo Mungu hakuna wakuzuiya

Hakuna wa kumzuia under the fact that ni fisadi anayetumia pesa kununua urais
 
Ukiweza kuithibitishia umma wizi wake utakuwa umefanya jambo la busara, lakini kueneza chuki nakuona kama mkaanga sumu, polee, LOWASSA anawaumiza kichwa sana Mwaka huu

Bunge la kina Mwakyembe lilishathibitisha wizi wake kupitia richmond, tatizo una akili ya kuku ya kusahau haraka sana
 
Ukiweza kuithibitishia umma wizi wake utakuwa umefanya jambo la busara, lakini kueneza chuki nakuona kama mkaanga sumu, polee, LOWASSA anawaumiza kichwrE]

Huyo jamaa sı tu mwizi balı hata uwezo wake kiakili ni mdogo kuliko wagombea wote.Etı anaimba umasikini lakını haelezi namna ya kuongeza mapato, kudhibiti matumizi na kupambana na rushwa.Ili jamaa kwa akili zake anaweza mega hata aridhi ya nchi na kuiuza.Hafai.
 
Kilicho kuvutia hasa ni kipi hapo? Kutamka bila kusema atayafanyaje ni hadithi
 
Kafanya nini.mpaka sasa kuutoa umaskini wa Watanzania? Huyu ndio anayesema kila mwaka bajeti ya nchi ipo vizuri na anaipongeza serikali na kupiga kura ya ndiyo.Sasa leo aseme anakerwa na umaskini? Siwezi muamini Mtu toka CCM
 
Hata siku moja hali zetu zitazidi kuchoka kuliko hapa tulipo mawaziri wote waliopitia kwa JK ni wezi tu labda utaisha kwake
 
Hamuoni aibu wapiga debe wa lowasa, Lowasa amekaa kwa serekali hii since 1975, mpaka leo watanzania ni maskini, amefanya nini katika kipindi chote hichi ili leo aje na kusema ataondoa na anasikitishwa na umaskini wa watanzania. Huu ni u afiki ulio dhahiri shahiri.
 
Umasiki unamkera lowasa,?akamwambie rafiki yake wa vijisent arudishe hera zetu kwanza ndo mtwambie takataka zenu
 
Back
Top Bottom