Lowassa Must Fail - By Hooks or Crooks

Don't repeat again (note with red color down) to say that
He was but wants to play its part.
My brother we are talking of the future and you are taking us to the past. JK is the past now bro. We are shaping the future and Lowasa is not in it.
 
Alipokuwa waziri alificha kucha, alipokuwa waziri mkuu zikajitokeza, hakumaliza hata miaka 2, chali!

Sasa ndiyo kaonekana kabisa, na anasema wazi wazi, fedha anayotumia kununulia watu ni ya rafiki zake.

Wewe mbona rafiki zako hawakupi?

Dada faiza unamchukia lowasa
 
Correct the bolded text to make your thread clear!
 

Ikiwa kwa fikra kama hizo halafu unajiuliza kwanini wewe ni masikini basi ujuwe wewe ni masikini wa mawazo.

Kuna dhambi zaidi ya kununuliwa na binadam mwenzio huku unafurahia?
 
Nobody can divert the power and will of the people thats why its called governmnet of the people for the people by the people.always in your dream remember to rule tanzania you needs peoples approval.
 

Alipokuwa waziri alificha kucha, alipokuwa waziri mkuu zikajitokeza, hakumaliza hata miaka 2, chali!

Sasa ndiyo kaonekana kabisa, na anasema wazi wazi, fedha anayotumia kununulia watu ni ya rafiki zake.

Wewe mbona rafiki zako hawakupi?

Kuna taarifa kuwa rafiki yake Rostam kauza 17 % ya share zake na kupata around 300 billions Tshs. Na ndo hizo zinahainga kumpeleka ikulu. Sasa jiulize akishaipata hiyo ikulu anayarudishaje hayo mapesa huyu raia wa Iran? Nasikia ameahidiwa kukabidhiwa kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi ndo akiendeshe kwahiyo suala la kupata umeme wa uhakika wa bei nafuu litafutika maana atakuwa anawauzia TANESCO umeme kwa bei anayotaka yeye, mpo hapo. Pia tunachakarika kuboresha mambo banadarini ili tupate pesa za kutosha kutoka hapo, Lowasa akipata kamuahidi swahiba wake Karamagi kupitia kampuni yake ya TICTS kuendesha shughuli za upakuajia na upakiaji mizigo huku wakitumia vifaa vya TPA na shughuli zingine kupewa rafiki zake mafisadi kama Chenge etc. Kwahiyo piga kampeni kumkataa kabisa Lowasa. Mimi nilishaanza na kwenye facebook na ndugu zangu huko kijijini wengine walikuwa wanampenda nimewaambia waachane naye kabisa, hafai hata kidogo.
 
Ikiwa kwa fikra kama hizo halafu unajiuliza kwanini wewe ni masikini basi ujuwe wewe ni masikini wa mawazo.

Kuna dhambi zaidi ya kununuliwa na binadam mwenzio huku unafurahia?

Jamaa ameinunua CHADEMA na watu humu wanashabikia tu. Ikitokea ashinde hahahahaha, atawacharukia hawataamini. Anyway bahati yao maana jamaa yao hashindi ng'o
 
Lowasa hafai hata ujumbe wa nyumba kumi.
ilikuwaje JK akamnadi kule Monduli 2010!!!? na kinana alipomsifia ya kuwa ni 'jembe'!! teh teh teh! utake, usitake, una miaka kumi ya kuwa chini ya kaafir unless uhamie Zanzibar!
 
Dhuu, Kama umeandika kizungu hivi, basi wewe inaonekana ulisomea ukiwa umekaaa kwenye dawati sisi wenzio ni class ya 1995.com hatukuwahi kuona madawati darasani ila siku ya mtihani ndo tulikalia dawati ngoja tujaribu na LOWASA tuone kama watoto wetu wanaweza pata madawati, walimu kulipwa madai yao, maji safi vijijini, huduma nzuri kwenye mahospitali, Rushwa kama atatokomeza, ufisadi, kufanya kazi kwa mazoea , ubadhirifu kwenye almashauri na wizara zote na mengine yote yanayo fanana na hayo ambayo ni machukizo hata kwako wewe

Hatuichukiii ccm bali hatutawapa kura kutokana na kushindwa kutekeleza hayo kwa kipindi cha Miaka 54 tangu uhuru
 
ilikuwaje JK akamnadi kule Monduli 2010!!!? na kinana alipomsifia ya kuwa ni 'jembe'!! teh teh teh! utake, usitake, una miaka kumi ya kuwa chini ya kaafir unless uhamie Zanzibar!

Ohoooo, kwani ni mara ya kwanza? Nyerere alikuwa nani? Mkapa jee?

Hilo wala lisikutishe, kwa kifupi, Lowasa hatotawala na utaniambia?

Khaa mgonjwa? mnhh!! Ni punguani tu ataempigia kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…