Mkongwe03 Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 150 Reaction score 100 Sep 2, 2015 #1 Kwa waliohudhuria mkutana wa jana pale viwanja vya matarawe wamejionea wenyewe mamia ya watu walivyojitokeza kumpa sapoti rais wetu mtarajiwa Attachments 1441200902643.jpg 8.9 KB · Views: 630
Kwa waliohudhuria mkutana wa jana pale viwanja vya matarawe wamejionea wenyewe mamia ya watu walivyojitokeza kumpa sapoti rais wetu mtarajiwa
Isaack Newton JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 619 Reaction score 371 Sep 2, 2015 #2 Ngoma droo hata magufuli vle vle,tukutane october hapa ni porojo tu!
mdafanga JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 618 Reaction score 197 Sep 2, 2015 #3 Nyota ya lowasa kali sana
Cham Bee JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 3,516 Reaction score 1,856 Sep 2, 2015 #4 Nyota ya Alien kutoka anga za mbali.Akili kubwa saaaaana hiyo na ndio iliyokuwa na mbinu za kisayansi za kupambana na wapinzani.
Nyota ya Alien kutoka anga za mbali.Akili kubwa saaaaana hiyo na ndio iliyokuwa na mbinu za kisayansi za kupambana na wapinzani.