Lowassa miaka 3, Sumaye miaka 10 Waziri Mkuu

usisahau kwamba ktk muda huo ulioutaja mwenyekiti wa ccm alikuwa rais kwa miaka 20; mkapa 10, jk 10,
 
Wakati KANU inakufa Kenya walichagua mpinzani Mwai Kibaki ambaye alishakuwa makamu wa raisi wa Moi,huwezikupata watu wapya kabisa kwenye siasa tunachotaka ni kuutoa mfumo wa CCM basi.CCM OUT

Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.

Ni kwa sababu KANU imerudi uongozini. Kumbuka Mwai Kibaki wa NARC alimshinda Uhuru Kenyatta wa KANU mwaka wa 2002. Uhuru alipendekezwa na rais mustaafu Daniel Arap Moi.
 
Ni kwa sababu KANU imerudi uongozini. Kumbuka Mwai Kibaki wa NARC alimshinda Uhuru Kenyatta wa KANU mwaka wa 2002. Uhuru alipendekezwa na rais mustaafu Daniel Arap Moi.

Kanu imeshakufa, ni sawa na kusema Kumchagua Lowassa ni kuichagua Ccm kwa kuwa Lowassa alishawahi kuwa Ccm
 
umesahau kusema baada ya kutolewa kanu miaka kadhaa leo shule zote za msingi nchini kenya zimefungwa kutokana na mgomo mkubwa wa walimu nchi nzima.
na al shabab wanatwanga pande hizo every day.
 
Magufuli nae miaka 20 amesahau nini?
ASP/TANU=CCM miaka 54 wamesahau nini ambacho watakitekeleza hii miaka mi5?
 
Hakuna namna tena...Tumeichoka CCM iliyotuongoza kwa miaka zaidi ya 50 ila bado wana Ahadi za Uongo na Wizi wa mali za umma.
 
Cha ajabu zaidi hata yule aliyekaa kwenye wadhifa huo kwa miaka 10 bado anahamu ya kuingia tena madarakani sijui amesahau nini huyu

Jee hawa waliokaa miaka 50 naa madarakani bado wataka tena kurudi madarakani jee wamesahau nini?
 
Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.
Unajua Kenya inagharamia KDF Somalia unadhani ni kiasi gani inatumia, na sasa kipaumbele chao ni Usalama kwanza
 
Hili ni fundisho tosha kwa Magufuli kuwa makini wakati wa kuteua Mawaziri wake. Mizigo ina shida zake Kila wakati inataka kujihalalisha
 
Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.
Je unajua mshahara wanaolipwa hao waalimu wa kenya na bado wanaona hautoshi? Haya CCM mnawalipa walimu pesa ngapi mpaka wanakaa kimya? Je walimu wanawadai pesa ngapi? Shida ya walimu wa bongo ni waoga na wakifanya makosa mwaka huu, wataendelea kuwa masikini mpaka Yesu aje.
 
Kenya Walimu wamegoma kwa kuwa Ahadi hazijatekelezwa, acha maneno mengi, ahadi ya Pantoni bure ni mfano
 
Kenya Walimu wamegoma kwa kuwa Ahadi hazijatekelezwa, acha maneno mengi, ahadi ya Pantoni bure ni mfano

kwa hiyo unamaana na watanzania pia tugome wote kwa maana ahadi lukuki za CCM hazijatekelezwa?
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA imekuwa BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA
 
Cha ajabu zaidi hata yule aliyekaa kwenye wadhifa huo kwa miaka 10 bado anahamu ya kuingia tena madarakani sijui amesahau nini huyu

Na hayo babadiliko ya Kenya yanayotolewa mfano hawaoni wala hawasikii migomo ya waalimu na madaktari yanavyoshamiri wagonjwa kulala chini hakuna kilichobadilika ndo matatizo yamezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…