johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,527
Hakuna aliyetegemea
Wabunge wakiongozwa na Spika akisaidiwa na Peter Serukamba wakambembeleza sana lakini akawagomea
Rekodi ile haijavunjwa, Prof Lipumba alijaribu pale CUF lakini akatengua kujiuzulu yeye mwenyewe
Mlale unono šš