Na Martin Malera
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya chakula cha hisani kuchangia kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kanisa Katoliki Ifakara. Harambee hiyo itakayohudhuriwa na maaskofu wa majimbo mbalimbali nchini, imeandaliwa na Askofu wa Jimbo la Mahenge, Agapit Ndorobo na inatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Dimond Jubilee, Machi 7, mwaka huu.
Anatumia njia za kizembe sana....I'm very impressed with the strategies of our incoming president
Atazunguka makanisa yoote,ataenda mpaka misikitini...lakini watanzania hatudanganyiki ng'o.
I'm very impressed with the strategies of our incoming president
Itisheni harambee kuchangia wanafunzi waliokosa ada...kila siku makanisa lol!
Siyo wote maniitaa Bwana Bwana! Wanajua pesa zake za wizi lakini wanamwita na kumpongeza: hawa maaskofu watamjibu Bwana wao atakapouliza. Na Bariadi nasikia ameitwa
Itisheni harambee kuchangia wanafunzi waliokosa ada...kila siku makanisa lol!
Hii inaonesha EL anawaandaa kwanza wananchi wake kumcha mungu ili 2015 akiingia kila raia awe na maadili mema, hapa tegemea wizi, rushwa, kuporomoka kwa maadili ya uongozi kutoweka kabisa kuanzia 2015. EL anahitaji kizazi kilichojengeka kimaadili cha kuifikisha tz yetu tunayoitaka.
wito wa Narubongo ni kuwahimiza watanzania wote wenye nia njema kujitokeza kwa wingi 7th march 2012 @ diamond jubilee pasipo kujali itikadi za udini, ukabila, uraia na personal issues ili tukamilishe kazi hii ya kulieneza neno la mungu na kuijenga tanzania yetu yenye maadili
ELairLines2015
Unadhani hii ni nini? Ushetani tu,kwani tumeshuhudia wengine wakiendesha harambee wanaingiliwa na nyoka.WOTE WANAO MTUMIA EL WAWEKE REKODI ILI YATAKAYO WATOKEA WASHUHUDIE UNLESS WAWE Wanafiki kwake EL NA WAKWELI WA MUNGU.NA HERI WALIO ONESHA UJASIRI LEO KUMPINGA SIOI KULE ARUSHA WAMEFANYA KAZI YA MUNGU.NATAMANI HARAMBEE HIYO IKOSE WATU.MUNGU AFUNGE USHETANI.
This is too much now!! Yaani jamaa anaingia magogoni hivi hivi kiulaini huku akiwatia hofu akina Membe hadi kujitoa kwenye kinyang'anyiro. Lol.