mtendaji wa kijiji
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 533
- 115
Hongera CHADEMA katika 10 bora za bunge mmetoa wabunge 5. Big up
Mjinga wewe kazi ya mbunge iko bungeni, kutunga sheria, kujadili na kupisha bajati, kuwakilisha wananchi, na kuisimamia serikali, haya yote unayafanya ukiwa ndani bunge sessions kwa zaidi ya asilimia 90 kazi ya kutekeleza sera na mipango ya maendeleo ni ya serikali maana ndo yenye bajeti! Kwahiyo mbunge akiwa bubu bungeni inamaana hatekelezi wajibu wake!

Ni kweli bwana sio wote wako interested bungeni wengine wanaisaidia jamii na makundi mbalimbali kwa kuwapa fedha nae ni mchango wake!!!!
peleka unafiki wako huko yani unataka lowassa abishane na mnyika ,lowassa ni mtendaji siyo copo tupu hawezi kushabikia kelele za chura. mnyika alikuwa hachangii chochote hata hoja moja ya kufanya nchi kufika malengo yake bali walikuwa wanabishana na mwigilu na jazba zake za kutafuta umarufu ,ubungo tuna shida ya maji hata siku moja hawasilisha bungeni ,hata mwndishi wa makala hii nina shaka na kaelimu chake,
Ni kweli bwana sio wote wako interested bungeni wengine wanaisaidia jamii na makundi mbalimbali kwa kuwapa fedha nae ni mchango wake!!!!
Sasa wakuu mnataka LOWASSA aulize nini??? halafu amuulize nani???