Lowassa mchana wa leo alijikuta akisimamishwa na wanachi waishio mpakani mwa Kenya na Tanzania

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903

  • IMG-20160704-WA0090.jpg
    IMG-20160704-WA0095.jpg
    IMG-20160704-WA0096.jpg
    IMG-20160704-WA0094.jpg
    IMG-20160704-WA0097.jpg
  • Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward N Lowassa mchana wa leo alijikuta akisimamishwa na wanachi waishio mpakani mwa Kenya na Tanzania (Namanga) wakiomba kumsalimia na kuelezea hisia zao na mapenzi yao juu yake ambapo aliwasisitiza kutokata tamaa kwani mapambano ndio yameanza na dhamira ya kuwakomboa watanzania haijafifia wala kupotea .. "Ipo siku haya yote yatakwisha" alimaliza kwa kuwaambia maneno hayo.
 
mahakama ya mafisadi imeshaanza kazi aanze kabisa kuwaaga wafuasi wake
Ukweli unafikiri mafisadi wako upinzani au ni chama gani? Tuanze kuwaorodhesha hapa na aanza na wale unaowafahamu wote kuanzia Lugumi, Escrow, EPA, etc i.e you name all the shame in this country.
 
Back
Top Bottom