Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,344
- 9,845
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.
Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!
Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!
Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.
Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??
Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??
Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.