GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Wakati lowasa akiwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sijui kama alifika zanzibar na kama alifika kwa sherehe za mapinduzi ya zanzibar.
Hivi karibuni nimekuwa nikiona habari akitembelea zanzibar sehemu mbalimbali, wazee wa zanzibar akiwatembelea mawaziri wastaafu pamoja na maraisi na miradi ya zanzibar.
Jee huyu lowasa amefikwa na nini? :what: