OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
yule mkenya aliyetoroka nchinialiyekuwa manager wa hoteli hiyo ameishia wapi..?
Hiyo hoteli inafaida gani kwa waumini? Na je waimini walishwa elezwa hizo pesa zilizo kopwa zilitumikaje? Na je wakati wa kukopa waumini walishilikiswa?
Juzi tu tulilipa riba peke yake milioni 600, bado awamu nyingine.
Hoteli ya kanisa hairuhusu wazinzi, walevi, wavuta sigara kulala pale, na hakuna lounge kwa ajili ya kupata vinywaji vikali ndiyo maana hoteli haifanyi vizuri.
USHAURI WANGU;
Hoteli ya Corridor Spring iuzwe, fedha zitakazopatikana zielekezwe kujenga shule au hospitali ya kanisa
pamoja na ufisadi kuwa mojawapo ya sababu ya kufilisika kwake ilaJuzi tu tulilipa riba peke yake milioni 600, bado awamu nyingine.
Hoteli ya kanisa hairuhusu wazinzi, walevi, wavuta sigara kulala pale, na hakuna lounge kwa ajili ya kupata vinywaji vikali ndiyo maana hoteli haifanyi vizuri.
USHAURI WANGU;
Hoteli ya Corridor Spring iuzwe, fedha zitakazopatikana zielekezwe kujenga shule au hospitali ya kanisa
Wazili mkuu aliefukuzwa kwa kashfa ya kuuibia nji milion156 kwa siku, nae sasa amekua na huruma