ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
akawasaidie monduli
Atuambie atapambanaje na umaskini bila kupiga vita ufisadi ambao hataki kuuongelea kabisa.
Ebu tumuingize ikulu tuone kama ni kweli.
Wananchi ndio wanamuomba... Au wewe haya mafuriko huyaoni?
Sumu haionjwi mkuu
Unakuwa na maziwa pembeni.
Ningependa kusikia msimamo wa wana-CCM wenzaku kuhusu matamshi haya.Kampe pole. Umshauri kwanza akatubu na aelezee vyanzo vya utajiri wake. Halafu majaribio yake aanzie Monduli.
The Guy is very Right!!