Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,202
Reaction score
162,761
Waziri mkuu ajiejiuzulu na ambae anawania kuteuliwa kuwa mgombea uraisi kupitia CCM amesema mtu masikini hafai kuwa raisi na amehoji itakuwaje mtu masikini aongoze wananchi masikini?

Pia,amesema yeye hana njaa ila mwenyezi mungu amemjalia uwezo mdogo hivyo hatafuti kwenda Ikulu kwasababu ana shida ila anataka akapambane na umasikini


.==========================

Chanzo: Habari leo
 
Kweli wametuona watanzania ni mazuzu. Atapambana vipi na umaskini wetu wakati naye ni mmoja wa vyanzo vya umaskini wetu!
 
Katika nchi ya kibepari au ya kijamaa?
Vipi kuhusu tajiri kuongoza jimbo lenye maskini je kuna mabadiliko ya maisha kati ya hao maskini wanaoongozwa?
 
EL angesema neno moja tu kuhusu richmond angeupata urais asubuhi na mapema ila fichaficha yake ndio inayotufanya tusimuelewe.bado muda wa kusemeza jamii kuhusu muhusika wa ufisadi ule wa richmond upo.

Awe wazi tumsafishe!
 
Masikini aliingia Ikulu leo hii hata mtoto wake tajiri
 
KAPUKU MWENZIO ATAKUSAIDIAJE,MAANA WOTE MNAKUWA MMEDATA KWA RUMBA/I
akili zinakuwa off
Ni lazima new richfull plan ipatikane no wayout!
 
Salary Slip

Siku hizi umekuwa kuwadi mzuri sana Mkuu... But is too late boti ishangoa nanga
 
Last edited by a moderator:
Hii ni zaidi ya kufuru!!

Kwa kauli hii jina lake linastahili kukatwa katika hatua za awali kabisa.

Yaani hafai kabisa.
 
Kweli wajinga ndiyo waliwao!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…