naona mitoto ya kigamba inafarijiana, ccm lazima itoke tu!
Kwiiiiiiiiiiiiiiii wanauza mavi kwenye gunia haliuziki hilo. Habari ya mujini ni Rais John P Magufuli. Hatuchagui Rais mchovu mwenye madeni ya mafisadi,tunamtaka mchapakazi.huyo mchovu wenu atafanyiwa kazi na Mbowe na Mbatia tutapona kuwakabidhi hawa jamaa hazina yetu?
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.
Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.
rais Lowasa tu
Lowassa sio maji ya shingo bali ameyanywa na yanamzamisha.Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.
Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.
baada ya upepo kuonyesha kuwa ccm inakwenda kushinda tena wameanza kutumia mbinu zote ikiwemo kutengeneza picha za mafuriko.