Lowassa, maji ya shingo


kutegemea mabadiliko kupitia ccm ni uwendawazimu....
 

Umeme mlaumu lowasa
Alikula pesa yoye ya umeme mwaka 2008
 
Tatizo la kuleta mada ukiwa chooni unasahau kuchamba...
 
Na ivi sasa ukiuangalia ukawa kama unaakili inayofanya kazi vizuri utagundua kunakitu hakiko sawa sababu utamuona lowasa tu yule mwenzie hayoko tena. (duni) anasikika kwa kukatakata.

Huyo mama Samia mmemtelekeza kabisaa sijui mfumo dume utawapeleka wapi!
 
Mnajisumbua tu presidar ni lowassa tu hata demu wako jana aliniambia atampigia lowassa ss kura zote hizo tunashindwaje?
 


Labda kumedhoofika kwa mamayo na babayo tu!
 

YOU seriosly NEED A CHECK UP FROM THE NECK-UP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…