Uchizi Uwa Hauponi, Mbaya Zaidi Anapopatiwa Bange, Ndio Hali Ya Vibweka Inazidi!!! Hivi Ni Wapi Sammia Suluhu Na Magufuli Wanaenda Pamoja Kufanya Kampeni Zao, Mtukumbushe!! Kama Wao Hao Wanaenda Pamoja Kufanya Kampeni, Na Leo Kila Mmoja Yuko Kivyake!! Basi Nao WATAKUWA Wamefarakana Pia!! Tokea 1995 Napiga Kura Na Kuona Kampeni Za Wagombea Wenza Na Wagombea Urais Wakipambana Kila Mmoja Na Chaka Lake!! Labda Kwa VYAMA Ambavyo Uwezo Wa Kifedha Ni Mdogo!! But Kwa VYAMA Vikubwa, Hawaendi Pamoja!!! Ndio Maana Mh. Lowassa Yuko Arusha, Mh. Duni Haji Yupo DODOMA!! Same Na Mh. Saluhu Yupo Mwanza, Magufuli Pwani!!! HEBU Mtukumbushe Wapi Hapo Hukuna Mfarakano!!!??? Tehe! Tehe! Tehe!! 2015 Mwaka Wa Kupata Idadi Kubwa Ya Mazombi!!