Lowassa: Mabadiliko tunayoyataka yanapatika CCM

Lowassa: Mabadiliko tunayoyataka yanapatika CCM

Wanao wapigisha offer za viroba waambieni wawe wanahakikisha wamewapiga offer ya ugali kwanza. Viroba na njaa madhara yake ndo haya.
 
Mbona hilo liko wazi hakuna mabadiliko ya kweli nje ya ccm bado,vyama vingi ni vya kuchumia tumbo
 
uzi huu ukiutafakari kwa undani utagundua utofauti tulionao binadamu katika kufikiri, kuelewa na kuamua.
 
Falsafa ya kutawala na kutawaliwa:
Anayetawala anapomkosea mtawaliwa, mtawaliwa makini humpa mtawala muda wa kujirekebisha. Muda ukisonga na mtawala hajirekebishi mtawaliwa humwambia na kumkanya kuwa hapendezewi na anavyofanya. Ikitokea akaendelea na kukosea basi huwa huyu mtawala ni taabu kurekebika hivyo mtawaliwa huwa hana budi kumchukia. Wakati wa kumchukia kama mtawaliwa ana Uwezo wa kumuondoa humuondoa. Anapomuondoa sio lazima amuweke kama aliye mtoa. Anaweza akawa na Uwezo zaidi au pungufu ya huyu wa kwanza lakini kwa kiwango alichofikia huyu mtawala kumubadilisha huwa ni lazima. Huyu mtawala anapotolewa huendaa akakaa na kujivinjari kwa mini katolewa. Hapa ndipo hugundua kuwa alikuwa anamkosea mtawaliwa na hujuta kwa mini alikuwa hajirekebishi? Hujiapiza kurudia kutawala na kujisemea kimoyo moyo kuwa pindi akirudia kutawala tena atatawala kama mtawala anavyopenda. Na yule aliyewekwa hujiuliza sababu ya kutolewa mtawala wa kwanza na kuwekwa yeye. Naye hujiapiza kutofanya makosa ili asije akaja kuondolewa kama yule wa kwanza. Katika mazingira haya ya mabadiliko ya watawala mtawaliwa utengeneza ushindani ambao kwake huwa ni kutawaliwa vizuri.
 
MemberArray


Join Date : 29th July 2015
Posts : 10
Rep Power : 306
Likes Received0
Likes Given0
 
Huyo dawa ishamwingia,atulie isambae mwili mzima,ccm wanatutoa hatua moja mbele wanatupeleka kumi nyuma,na haya sio mabadiliko anayoyasema lowasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom