Lowassa leo kuibua mazito

Status
Not open for further replies.
Hana jipya, yeye akamchukue Balali amrejeshe bongo, hilo ndo litakuwa jambo jipya TZ na duniani kote, haya mengine ni blabla tu za kushindwa urais, na kama anaamini kuwa ccm wamemfanyia hila, swali langu kwake na wapambe wake kuwa, hata Dr.Slaa pia aliwahi kusema kuwa kashinda wakati huo, je kwa uchungu alonao leo, ni kwa nn hakuutumia wakati huo, ili atangazwe Dr.Slaa kuwa alishinda? hiyo ni alikili ndogo kutawala akili kubwa. (Mkuki kwa nguruwwa co)
 
Leo atasema maneno mazito sana,kwa dakika tano,,mh,kumbe bora hata slaa alikua anatetemesha,lowasa ni hopeless case
 

Matatizo ya akili unayo wewe na yule hawara yako,, jitu zima kutwa kushinda jf kuongea pumba tu ,,, bora mama yako angezaa mkate akanywa na chai kuliko kuzaa taahira kama wewr
 

Elimu inahitajika sana tena sana maana kuna watu wanajua siasa ni sawa na club za yanga na simba.
Julius aliwamba siasa ni kilimo siasa ni maendeleo lakini watu kama wewe ni shida kwa maendeleo ya Taifa.
CCM walikuwa wanakusanya matokeo pale nyuma ya Shorpers Plaza na Mlimani City haujaona??
Kuhusu wabunge halina hata shaka kwamba mumepora majimbo mengi pamoja na hayo mbona Msigwa alichukua Iringa akiwa na Madiwa watatu tu hilo ulioni?
 

Ujinga mtupu.
 
mi napata wakati mgumu walewale walotuambia wana ushahidi na ufisadi wamejisahau nakutushawishi eti alisingiziwa!! wewe umsingizie halafu usahau alisingiziwa makubwa haya kuleni samaki kwa wingi kumbukumbu zirudi
 
Babu veepeeeeeee kaghairi nini?au kuna mifugo imemtoroka na kijimvua cha asubuhi ndio yuko busy kuitafuta kasahau press conference....
 
Lowassa bado anakamua maziwa wakuu hadi muda huu. Akimaliza atakuja kutoa hilo tamko. Kuweni wavumilivu.
 
Lowassa bado anakamua maziwa wakuu hadi muda huu. Akimaliza atakuja kutoa hilo tamko. Kuweni wavumilivu.z
 
Mbona umeisha saa nyingi!!!! Msg toka Mwananchi imesema anaungana na CUF kudai haki yao Zenji

Asante kwa taarifa,
hizo ndizo habari nzito?au kuna mengine mkuu.
Ngoja tusubiri taarifa kamili.
 
Bado huyo jamaa wenu hajaanza kutema pumba zake?
 
Asante kwa taarifa,
hizo ndizo habari nzito?au kuna mengine mkuu.
Ngoja tusubiri taarifa kamili.

Mkuu, habari nzito pekee inayoweza kutoka kwa Lowassa ni ama kurudi CCM au kustaafu siasa. Mengine yote ni sarakasi za kupoteza muda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…