Unajua wapinzani muda mwingine huwa hawafikirii kabisa...hivi tamko la Lowasa litasaidia nini? Kama uchaguzi bara ulishafanyika na Rais tunaye na kama ni zanzibar uchaguzi umeshapangwa kufanyika mwakani!
Hayo matamko hayato saidia lolote kama wanampango wakugomea uchaguzi wanapoteza muda maana uchaguzi utaendelea kama kawaida....
Lowasa muda wa mafuriko umeshaisha,muda wa mahaba ulishaexpire,,,Hana ushawishi wowote kwa sasa.Mavi ya kale hayanuki.
Magufuli hakushinda kihalali
Semeni semeni tuwasikie viongozi wetu. Chaguo la mioyo ya Wabara na wa Visiwani.
We jidanganye tu uchaguzi bara lowasa alishinda,,zanzibar maalim seif ni mshindi uchaguzi haurudiwi
kuapishwa sio tatizo,,anaweza kuondolewa kwa nguvu
Jamaa wana weweseka mpaka leo !
kuapishwa sio tatizo,,anaweza kuondolewa kwa nguvu