Nina mashaka na Uraia na utaifa wako cuz u r not understable....seemz u don't knw economic situation of TZ n u even don't knw anything abt politics of Tz
Haha, tena natokea Arusha Tanzania, but which politics and economic unrest you are talking about?
Brother, I am on neither side right, ila token ya lowasa sijaikubali, by the way natoa tu mtazamo, may be one day utayakumbuka maneno haya!!!! And I'll still be in
Las Vegas Boulevard
I never mentioned economic unrest.... #mabadiliko are needed for economy reform
Haha, tena natokea Arusha Tanzania, but which politics and economic unrest you are talking about?
Brother, I am on neither side right, ila token ya lowasa sijaikubali, by the way natoa tu mtazamo, may be one day utayakumbuka maneno haya!!!! And I'll still be in
Las Vegas Boulevard
What you have started can never be stopped!!! You scared of me, government scared of me, now what?
kama unatoka arusha utakuwa ccm tena wale wanaonufaika sasa tulia usijali sisi na lowasa ni sawa na maji na mteremko huwez kuekeza mto uende mlimani lazima utakwama tu. ametuibia sis na tumempenda na mnapozid kumshambulia ndivyo anavyozid kupata wafuasi
anafaa nani kwa mawazo yako? kama lowasa humtaki kimbia nchi sisi ndio tunayemtaka sasa kama mnasema mwizi katuibia sis na sis tumempenda imetosha
Kama serikali yenyewe ni hii ya kina Nape ni lazima iwaogope malimbukeni wa aina yako ila soon ukombozi wa kweli utakapopatikana elimu najitolea bure kukupeni elimu ya uraia watu wa aina yako ili walau mbadilike kwenye level ya familia muweze kuendesha familia zenu vyema msipate wana wa kukufanana mlivyo sasa!
Hujachelewa mdogo wangu/au mwanangu kwa maana akili yako inaakisi umri wako! Si ni wewe ulianzisha pia uzi https://www.jamiiforums.com/mahusia...vyovuta-sigara-post13869580.html#post13869580
Stop tripping man, it's bad idea!!!
We walk away like strangers in the streetKwa kuwa uu mgeni una muda wa kujifunza, chukua tu ushauri wa bure kwa kujifunza kuwa mstaarabu kwa maana hata kama umejificha kwa jina bandia tabia zako haziwezi kuwa tofauti sana hata ukiwa kwenye jamii...
Kwani dude to a moment na say exposure kidogo uliyonayo hukuwahi kujifunza lolote la maana kwenye maisha? Ukifika hatua watu wazima wawili watatu wakakushauri jifunze kusikiliza badala ya kuleta kiburi...tunza haya maneno yanaweza kukusaidia siyo lazima leo ama kesho!
We walk away like strangers in the street
Gone for eternity
We erased one another
So far from where we came
With so much of everything, how do we leave
with nothing
Lack of visual empathy equates the meaning of politics.
By the way who will be paying you in this suicide endeavor? In such case you are alone!!!
Whatever is excellent is upon you!!! Am not scared either
mna hasara sana nyie vijana mnaopenda ushabiki kuliko kufikilia mambo,
Hata jina la Raisi wako hujui sema LOWASSA THE KING.
swissme