Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

Those people support Lowassa from within..ili ushindi upatikane lazima waweko watu wanaoleta habari tokea ndani..sio lazima wote wahame..
 
Wajitokeze wa nini? Wanawaua hukohuko chamani kwenu.

Nifah huyu babu kumjadili naona kinyaa.nilimpa ukweli kule IG kaniblock yani huyu mtu ni dhaifu sana yani mtu ana miaka 57 kiumri mambo anayoyafanya ni km mtoto wa miaks 17
 

kwi kwi kwi kwi....ndoto nyingine bhana!...nani hao wenye huo uthubutu wa kuachia ubunge na mafao yatokanayo kirahisi hivyo?..
 
Well....
Ngoja nikupe mifano miwili. Kuna wenyeviti wawili ninaowafahamu hadi sasa wapo CCM ila kura zao + familia zao ni kwa Lowassa. Mmoja ni mwenyekiti wangu wa mtaa mwingine ni baba yangu mkubwa.
Need I say more?
#TukutaneOctober

teh teh teh teh...unaongelea wenyeviti wa mitaa?...wale wa mikoa walomsindikiza unadhani kwanini hawajamfata!...na wale wabunge 150..
Tafakari.
 
Poor analysis!Kama vigezo ulivyotumia hapo juu ndiyo unaviita facts,basi pole sana.Kuhusu wadhamini,wengi hawatahama ila kura za urais zitapigwa kwa Lowassa,fanya research utalibaini.Wenyeviti wengi kutomfuata ni political technique/trick kujua mipango yenu mingi inayopangwa.Wajumbe wa Kamati kuu,I thought mngechukua uamuzi wa kuwatema,mmekosea kuwaacha kwani hakuna mtakachopanga kwenye CC kibaki siri.Pioneers wa mikakati wengi kubaki huko pia ni mkakati maalumu,your party has poor intelligency system.All in all it is the matter of time!
 
Jamaa hizi takwimu za wanachama 2000 waliomfuata Lowassa anazitoa wapi? Anategemea Onesmo mwenyekiti wa Arusha ametoka na watu wangapi? Monduli imebadilika kutoka CCM mpaka CHADEMA, yeye anasema watu elfu mbili, lazima atakuwa na matatizo. Namshauri aanze kuchukua takwimu kuanzia leo watu wanaorudisha kadi za CCM, aone kama hawazidi 2000 kwa siku.
 

Mlioingia chupa ya maigizo EL mtaishia kuweweseka na kadi feki alizotengeneza kwa ajili yenu!
 
Ndugu yake au sijui ni yeye mwenyewe kapigwa chini kura za maoni kule kwa kibajaji Lusinde
 
Kitakachofanyika mwaka huu ccm ikubali tuu kuwa hali kwao ni tete. Lowasa kaacha watu wake wengi tu ndani ya ccm na hakika bado wapo nae. Nampongeza Lowasa kwa kuvaa nguo zisizo na uchama hiyo ni kumaanisha anazo kura kutoka vyama vyote. Heko kwa hilo mzee mamvi I call you!
 

Hivi nilazima ccm ibaki madarakani? Kwa miaka kingapi? Mabadiliko brings a different world view. Change will hav to come. Tatizo ni kwamba ccm huendesha serikali kwa mazoea nchi utafikiri ni shamba la bibi, and that is what pple are tired of. Watu kuunga mkono au kusitounga mkono lowassa ni personal choice. What u hav said is your personal opinion. Ila wapo wengi tuu wamenufaika na ccm tena sana tu, na wapo wengi nao hawajafaidika na ccm. Ilo lazima liwepo. Lakini, wote wanaopigania ccm kuendelea, niwaoga wamageuzi. Change! yes it can happen. Let's wait and see! Swala sio mh. Lowassa, watu wame choka na hiki chama this is a fact. Muta msema sana lowassa, ila wanachoshindwa kufahamu, nikushindwa kutambua makosa wanoyafanya kwa wananchi. Kwahio ccm wasitafute mchawi, ..
 
hata usime fact zote, huwezi kuzuia mafuriko, wala huwezi kudanganya watanzania .....october 25 /10/ 2015 utaona mabadiliko ndio utajua swala wanaweza kukubadilisha na ukafurahi kuisha maisha mazuri katika nchi nzuri Tanzania...............usiwe mjinga kupoteza muda kufikiria mtu ambaye hakufikirii wewe wala chama chako ccm...........watanzania wataamua na dalili ndio hizo....mafuriko Dar, Mbeya, Arusha, Mwanza, Zanzibar...........Lowassa ndio chaguo la Watanzania
 
Another Fact Bashe ni msomali cos angemfuata Lowassa leo hii angekuwa Mogadishu
 
Madodoki zaidi yanahitajika kumsafisha Lowassa

Angekuwa Dr Slaa upinzani kashika usukani ningempigia debe la uhakika.
Lakini EL hasafshiki anapigiwa debe na wameru/wamsai wenziwe, na hana anachoenda kutekleza kama sera kule Ikulu.
Atikipaumbele ni kumtoa Babu Seya!!!
Ni ahueni gani hiyo kwa mtanzania masikini
 
Le Mutuz
ukule ulavyagana, just wait on 26 October you will hide yourself
 

Heri adui aliye nje kuliko adui wa ndani anakuchekea lakini moyoni anania mbaya nawe. October 25 utapata majibu
 
Heri adui aliye nje kuliko adui wa ndani anakuchekea lakini moyoni anania mbaya nawe. October 25 utapata majibu
Hakuna adu wa kucheka cheka ndani ya CCM, kama yupo mtaje!
Makapi na oili chafu wote wameondoka, na huko wanakula wa chuya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…