makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Toa data wewe. Wengi maana yake nini?
Waba bavicha wana matatizo, waliambiwa maandamano na ngoma za kitoto hazikeshi wakabisha!Hapa Le Mutuz watu wameshindwa kumjibu kwa facts wanabaki kuzunguka mbuyu.
Suala la ubongo unaofanya kazi ni kuzijibu hizo nondo.Kwa hoja hizi zako wewe; ni wazi ubongo wako umepata pumziko la milele! RIP
Mkuu usipige rangi picha ya swala wakati swala yupo upenuni.My God, I cant believe this! Of all people masopakyindi, hata wewe umeshuka kiasi hiki! Una copy na ku paste mawazo ya mtu kama Le Mutuz! Kweli hujafa hujaumbika. Ngoja nikutonye tu mdogo wangu, UKAWA wanacheza ngoma nzito, ona jinsi kila mwana CCM, anavyohangaika na UKAWA. UKAWA ndio habari ya mjini, hakuna mwenye habari na Makomeo aka Makufuli aka Magufuli aka Pombe...yaani you have all danced yourselves lame before the main dance.
You are all dancing to the tune played by UKAWA. UKAWA ndio wanaamua nani atangaze nia ya kuiacha CCM kwenye mataa na lini watangaze. Hii ni katika kuhakikisha CCM inamomonyoka taratibu, wakijashtuka hamna aliyebaki. Hebu subiri kampeni zianze mwishoni mwa wiki. Watakaokuwa wamebaki ni kwa mipango maalum ya UKAWA, kuongeza sintofahamu ndani ya CCM hadi watu wasiaminiane tena, kila moja akimtolea mashaka mwenzie hadi wachanganyikiwe.
masopakyindi, CCM inakufa na ving'ang'anizi kama wewe nawafananisha na kupe...ng'ombe anachinjwa kupe yupo tu, anachunwa kupe yupo yu, ngozi inaanikwa juani ndio kupe anagutuka. Mtu mwenyewe aliempakata Magufuli naye kachoka kweli kweli, anatamani amdondoshe na yeye akapumzike UKAWA. Wengine siku kama hii tumeisubiri na tulijua itafika tu, amini usiamini CCM kwishnei ikichungulia kaburi na hakuna tena namna, lazima ipigwe chini.
We ni kama wale wanaoandamana kwa viroba vya valuu.Huyo Le Mutuz kubwa jinga nae hapo kaona kaongea jambo la maana kwelikweli. Kwa hiyo akili yake kubwa anayojisifu nayo kashindwa kuelewa FACT ya HOJA SIO WALIOJITOKEZA HADHARANI KUMFUATA LOWASSA UKAWA, HOJA NI KURA WATAMPA NANI OCTOBER 25?
Mtu kubaki CCM sio hoja, kimwili wapo CCM, rohoni wapo na Lowassa UKAWA na hii ndio Fact sio hizo blah blah.
We ni kama wale wanaoandamana kwa viroba vya valuu.
Hauko mioyoni mwa watu kujieleza hivyo, unless ni mchawi!
Mwenye dhamira safi na wazi anajionyesha mchana kweupeeee!
Fact ni kwamba hakuna vita mbaya ya kupigana ukiwa na moles ndani. Hiyo ndo Kali sana kuliko hao wanaotangaza kutoka, tuvumilie tuu ni suala LA muda, itabainika tuu.
Well....
Ngoja nikupe mifano miwili. Kuna wenyeviti wawili ninaowafahamu hadi sasa wapo CCM ila kura zao + familia zao ni kwa Lowassa. Mmoja ni mwenyekiti wangu wa mtaa mwingine ni baba yangu mkubwa.
Need I say more?
#TukutaneOctober
Waambie wawe na ujasiri kujitokeza!