Lowassa kuzidi kutikisa 2020

Lowassa kuzidi kutikisa 2020

kingine watu wasichokijua ni kwamba resilimali za lowasa za kupiga kampeni nchi nzima na kugawa bahasha za kaki hazitakuwepo sasa unadhani ni tajiri gsni atakayedhubutu kutoa fedha zake kumchangia kwa usawa huu , kama ilivyokuwa mwaka jana , nani atakayedhubutu kubeti , tena kwa edo kama mwaka jana?
Hata likiwekwa jiwe, kura yangu na familia yangu na ukoo wangu kwa ccm mwisho 2015. Kuanzia 2020 ni upinzani hata ashuke malaika.
 
Mwanachama wa cdm alie kufa 2014 akifufuka leo na akashudia chama leo kinaongizwa na nani nadhani ataomba kufa tena,ujue siamini mpaka leo kinacho endelea!
 
Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.

1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.

2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.

3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.

4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.

Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.
Bado mnalipwa tu tangu wakati ule wa kufagia barabara?
 
atasimamishwa huyo huyo,mnamuogopa kumbe ushauri wa kinafiki ili asigombee,atagombea huyo huyo.mtanyoroka tu
Hauziki tena! 2020 hakuna ugomvi wa ndugu tena! Ataangukia pia vibaya!! Bora ajikite kwenye biashara zake. Ikulu asahau Kabisa!
 
Hata likiwekwa jiwe, kura yangu na familia yangu na ukoo wangu kwa ccm mwisho 2015. Kuanzia 2020 ni upinzani hata ashuke malaika.
Haitakuwa na faida maana CCM itashinda tu na kura zako hazitabadili chochote period!!
Sasa tuta nyooka kina nani!!?, mi mpga kura tu wa kawaida, tena mkiweka ntampigia, ila hamtashinda. Mark my worda

Halafu jitahidi kujia si kila asiye ungana na maamuzi yenu ni mwana CCM.
 
ina maana mgombea wa chadema 2020 kishapatikana?? si kuna vikao vya kupitisha mgombea?
Huyo si ametabiri tu,au nimesoma vibaya?Nikuulize,kwani Magufuli anapopanga mipango ya maendeleo ya mwaka 2022 ina maana alishashinda uchaguzi 2020?
 
Huyo si ametabiri tu,au nimesoma vibaya?Nikuulize,kwani Magufuli anapopanga mipango ya maendeleo ya mwaka 2022 ina maana alishashinda uchaguzi 2020?
Ana uhakika CCM itakuwepo hadi 2055
 
Hii number haipatikani mkuu maana ameshapita hiyo 1/10 siku nyingi mno
Kwa dia bomba?

Road Networks,
Kigamboni Bridge
Umeme vijijini
UDOM
Malagarasi Bridge
Ifakara Bridge
Dangote Industries
Students Loans bila konakona
Sekondari za Kata (Maskini tuliojitambua tumesoma humohumo)
MOI
Kikwete Heart Institute
Kinyerezi Power Plant

Nimekutajia Team-eleven na rizevu moja. Nipe orodha yako mkuu.
 
Haitakuwa na faida maana CCM itashinda tu na kura zako hazitabadili chochote period!!
Potelea mbali, ndiyo maana ya demokrasia. Ila ukweli unabaki kuwa kushinda hiki chama chenu cha fisiemu sjui! Labda kupitia JSJ
 
Mimi na genge langu la watu 30
tutamchinja kama kawaida
ikulu ataiona kwenye tv asahau kabisa kuja kuwa rais wa nchi hii
 
Acha atikise tu hakuna namna sijui 2020 tutapiga misamba?! Maana sasa tumbo haliruhusu tupige push ups.
 
Kwa dia bomba?

Road Networks,
Kigamboni Bridge
Umeme vijijini
UDOM
Malagarasi Bridge
Ifakara Bridge
Dangote Industries
Students Loans bila konakona
Sekondari za Kata (Maskini tuliojitambua tumesoma humohumo)
MOI
Kikwete Heart Institute
Kinyerezi Power Plant

Nimekutajia Team-eleven na rizevu moja. Nipe orodha yako mkuu.
Brain wash
 
Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.

1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.

2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.

3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.

4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.

Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.

Hizi sababu ni tatu au ni nne?
 
Uwezekano wa lowasa kupita mwaka 2020 kwasasa umeanza kupanda kwa kasi sana,hilo gape la kura milion 2 atalifukia unless some serious changes of attitude itokee kwa hawa waheshimiwa wetu
 
Back
Top Bottom