Lowassa kuzidi kutikisa 2020

Upinzani kama wanataka kuchukua nchi hii they should forget about Lowassa completely .Watafute mtu wanayeona mzalendo anayekubalika wampe promo apambane na chama kubwa vinginevyo wataishia kuaindikiza na kuzungusha mikono.
CCM sio wajinga kumuweka Magufuli na yeye anapiga kazi haangalii nyani usoni.Mpaka miaka ifike mitano tutakuwa mbali sana kimaendeleo maana JPM hataki ujinga wowote.Hivyo wapinzani wajipange sana
 
Lowasa ana ushawishi gani ? Labda kwa nyumbu kama wewe
 
Ccm mbele kw mbeleeeee
 
Siwashauri Chadena kumsimamisha Lowassa 2020, najua ni wabishi na wata fanya hivo, ila hapo itakuwa mna mtafutia magufuli second term.

Yangu macho
wamsimamishe nani?

kwa katiba na mfumo wa uchaguzi tulionao unadhani sitting presda anaweza tu kukaa pembeni?
 
Siwashauri Chadena kumsimamisha Lowassa 2020, najua ni wabishi na wata fanya hivo, ila hapo itakuwa mna mtafutia magufuli second term.

Yangu macho
Lowasa hasimamishwi, anajisimamisha mwenyewe, chama ni Mali yake
 
Small mind can't have develop mind, ukabila wako kaa nao huko huko,hivi unafikiri na nini wewe na cjui kama unamaanisha au Ni mzaha kwani hao wasukuma Ni asilimia ngapi ya wapiga kura wa Tz alafu acheni ukabila wenu nyie watu.
 
Huo ndio mwisho wako wa kufikiri au......?
 

kingine watu wasichokijua ni kwamba resilimali za lowasa za kupiga kampeni nchi nzima na kugawa bahasha za kaki hazitakuwepo sasa unadhani ni tajiri gsni atakayedhubutu kutoa fedha zake kumchangia kwa usawa huu , kama ilivyokuwa mwaka jana , nani atakayedhubutu kubeti , tena kwa edo kama mwaka jana?
 
Lowassa atatusumbua tena 2020 kila dalili naiona wazi.
 
Tushawazoea na maneno yenu matupu hayo.....CCM DAIMA.
 
Kumbe 2020 ni ENL? Mimi kama kawaida yangu sitafanya makosa nitaenda kumchinja mapema tu kwenye box la kura sipendi ujinga mimi twende na Magufuli mwanzo mwisho Lowassa ikulu ataiona kwenye tv tu
 
Acheni kumtajataja Mzee wa watu mnawakosesha usingizi watu fulani bure.
 
Akifikia 1/10 ya aliyofanya JK katika miaka mitano ya kwanza nipigie simu 000000001.
 
Mbona mnahangaika sana na Lowasa? Mzee, amekwisha, ameishiwa, teh, teh, teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…