Lowassa kuzidi kutikisa 2020

Lowassa kuzidi kutikisa 2020

galaw

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
13
Reaction score
29
Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.

1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.

2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.

3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.

4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.

Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.
 
atasimamishwa huyo huyo,mnamuogopa kumbe ushauri wa kinafiki ili asigombee,atagombea huyo huyo.mtanyoroka tu
Sasa tuta nyooka kina nani!!?, mi mpga kura tu wa kawaida, tena mkiweka ntampigia, ila hamtashinda. Mark my words

Halafu jitahidi kujua si kila asiye ungana na maamuzi yenu ni mwana CCM.
 
ina maana mgombea wa chadema 2020 kishapatikana?? si kuna vikao vya kupitisha mgombea?
 
Kumbe wapinzani mnajijua kuwa ni watetea mafisadi?

Safi sana Nyumbu, huo ndio ukweli Mbowe anawachosha tu alishauza chama zamani
 
Kwa mwendo huu selikari hii ya matamko lazima upinzani utasumbua kweli
 
CCM walipoamua kumsimamisha Magufuli hawakuwa wajinga.Piga ua garagaza wasukuma wataendelea kumpigia msukuma mwenzao.Wasukuma wanamsemo 'huwezi mpa mbwa wa jirani mifupa huku wa kwako akilala njaa' hata kama wa kwako kakukosea vipi utampa tu.Lowasa aendelee kuisoma tu hakuna namna hamuwezi huyu ngosha.Wasukuma nawaogopa sana,hawana utani
 
Sasa tuta nyooka kina nani!!?, mi mpga kura tu wa kawaida, tena mkiweka ntampigia, ila hamtashinda. Mark my worda

Halafu jitahidi kujia si kila asiye ungana na maamuzi yenu ni mwana CCM.
Usikariri,future is a mystery!..
 
CCM walipoamua kumsimamisha Magufuli hawakuwa wajinga.Piga ua garagaza wasukuma wataendelea kumpigia msukuma mwenzao.Wasukuma wanamsemo 'huwezi mpa mbwa wa jirani mifupa huku wa kwako akilala njaa' hata kama wa kwako kakukosea vipi utampa tu.Lowasa aendelee kuisoma tu hakuna namna hamuwezi huyu ngosha.Wasukuma nawaogopa sana,hawana utani
Acha ukabila wengine wanaposoma hii unajenga kitu kibaya mioyoni
 
Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.

1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.

2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.

3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.

4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.

Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.
Kesho ya Lowasa ama Magufuli i mikononi mwa MUUMBA.
Tuzungumzie yanayotuhusu sasa.
Hakuna aijuae KESHO wala 2020 ni MUUMBA mwenyewe!
 
Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.

1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.

2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.

3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.

4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.

Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.

By 2020 Lowassa atakuwa hoi, pesa zitamwishia, kwani hapa Tanzania biashara zilikuwa zinasurvive kwa dili na dili sasa hakuna. Lowassa sasa anakula hakiba yake na hakuna kinachoingia. Umeona biashara ya Mbowe imeishakufa amebaki kujenga ukuta. Baada ya miaka mitatu Waranzania wa kawaida ambao ni wengi wataona maisha yao yanabadilika. Pesa nyingi zilizokuwa zikiibiwa sasa zinaenda kuwatumikia Watanzania. Watoto wataendelea kupata elimu bure, hospitali zitaendelea vizuri, etc. Sidhani kama Watanzania watataka kurudi kwenye wizi wa macontainer, kwenye mtindo wa wachache kutibiwa Appolo hospital ama serikali kununua kalamu ya shs 100 kwa gharama ya laki moja kutoka wa wapiga dili. Lowassa hana njia akachunge Ng'ombe tu kama alivyoahidi.
 
Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.

1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.

2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.

3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.

4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.

Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.
DUUUUUUUUUU! Lowassa tena! Naona 2025 maccm yanatamalaki. Inamaana hakuna mwingine?
 
Siwashauri Chadena kumsimamisha Lowassa 2020, najua ni wabishi na wata fanya hivo, ila hapo itakuwa mna mtafutia magufuli second term.

Yangu macho
Itabidi wamsimamishe Mzee wa upako au
 
Back
Top Bottom