Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni
Taratibu jamani mtatutia pressure
Mkuu kuna habari kutoka utatani kuwa Lowasa anataka kugombea Urais. Kuna mbinu wanataka kuitumia kumbwaga JK ambayo watanzania wote tutabaki midomo wazi.
Ndiyo maana unaona JK kawatonya TAKUKURU wajiandae.......wajiandae na ............
Kwa ruhusa yako mkuu tutamwaga data hapa za namna fedha, vyama vya siasa na hujuma zinavyopangwa kuhakikisha Lowasa anaukwaa urais. Kumbuka tu huyu mtu alipingwa na Hayati baba wa Taifa lakini bado akaja kuwa waziri mkuu na wabongo wenzangu wengi tu mkapiga makofi sana siku ya uteuzi wake.
Pia kuwadokezea tu, kuna redio mbao imewahi kuripoti kuwa JK amewahi kutia sahihi MOU(memorundum of understanding) na wanamtandao, kuwa JK angeongoza miaka mitano tu, kisha angemwachia mmasai wa kichina........sasa kimbembe kinaanzia hapa.......pesa ya mganga.....................?????!!!!~~~>>
hii inaonyesha ni jinsi gani huyu ndugu alivyojipanga. So akitaka urais ama uspika kwake sio ishu. Kama akiwa mgombea wa urais ccm basi nchi itaongozwa na upinzani ila uspika ana uwezo wa kuupata
Hapa ndiyo kwenye kitendawili.....???? tega...CC...malizia!!! em !umekosea
nipe mji......nenda dodoma...sitaki......nenda Dar es salaam....nakubali..Jay......Jaydee?? hapana CC.....
Kwa taharifa yenu EL nautaka u'president
Uspika kwake ni nafasi ndogo sanaa.
Spika wa bunge lipi? Kama la bongo asahau, kwanza aestablish kama atashinda ubunge au asuburi ubunge wa kuteuliwa au viti maalum vya walioshindwa!
Its true but his presidency rests only in his family over his children and wife but never to all the Tanzanians. Come what may as long as God exists and lives, We pray hard that never will he become. We are even ready to pray over the novena such that he doesn't become!fikiria kabla hujasema.ya RICHMOND kaigaragaza serikali na hao wanaojiita wapiganaji,itakuwa u SPIKA??akiutaka ataupata tu..but his level is to be a president...YES I SAID IT..he deserve to be a President
Edward Ngoyai Lowasa for Speaker ?
Nice move na ninamuunga mkono maana jamaa yuko tayari kuongoza na ni mwenye maono na kaba ya kiuongozi, kama si yeye namuona Marmo kama mzoefu zaidi na hulka za kibunge.