Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
Acha kukufuru mjinga wewe.
Uwe unaangalia vitu vya kupost kabla hujapost.
MUNGU aliyejifanya mwanadamu ili aje kutukomboa huwezi kumlinganisha na FISADI PAPA Lowassa, Mmeru anayejifanya Mmasai.

acha mahaba niue unaelewa maana ya like-kama

btw mjinga mwenyewe
 
Fisadi papa kama mafisadi wengine,mwenye uroho wa madaraka,eehhh Mungu epushia mbali balaa hili.
 
Lowassa ana mikakati kiboko ya kusaka kura. Maana kuna wakati alionekana hadi kule mtaa wa makoroboi (Mwanza). Nadhani anafanya maandalizi ya kupata uraisi hata bila chama (kama mgombea binafsi).
 
Acha kukufuru mjinga wewe.
Uwe unaangalia vitu vya kupost kabla hujapost.
MUNGU aliyejifanya mwanadamu ili aje kutukomboa huwezi kumlinganisha na FISADI PAPA Lowassa, Mmeru anayejifanya Mmasai.

mkuu una hasira snaaaa,tulia utibiwe,lowassa ndiyeee rais
 
Ni wazi sasa lowassa hakamitki,katika
kile kinachoonekana kwamba mh
lowassa ni moto wa kuotea
mbali,juma pili hii atafanya harambee
ya aina yake ili kuwawezesha
waendesha boda kila mmoja kumiliki
boda boda,ni jana tu mahasimu wa
lowassa wamekuwa
wakimshambulia,ila lowassa
ameamuwa kupiga kimya anafanya kwa
vitendo.
 
safi sana RAISI WETU 2015
Via #Friends_of_LOWASSA
Kuwasaidia wafuasi wa lowasa ningewashauri mshaurini kuwa apige picha ya ikulu na atafute ramani yake na kwa kuwa anahela ajenge ya kwake kule monduli ili awe raisi wa monduli. Lowasa hawezi kuwa rais wa JMT. Lowasa alipokuwa anahama nyumba ya waziri mkuu albeba vitu vyote mpaka TV, vitanda vya serikali akapeleka kwake wakati ni mali ya serikali, na serikali inajua hilo. Pole Lowasa rais kazi yake sio kuendesha harambee!
 

Makonda anatumika na Sitta, wewe unatumika na nani?
 

Aisee jina lako zuri sana. Hongera
 

Hizi gongo za bure mbaya sana...
 
Lowassa hawezi akaponda chadema,coz ccm wakimutosa anahamia chadema,babu ataku,Mkiti,wakishinda,wazil mkuu atakuwa mbowe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…