Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri
option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.
sema ukweli hata kama unauma
Kwani Tangu lini Lowasa ametekeleza jambo lolote zaidi ya zile ishu za ufisadi na Rushwa sema kama kunakingine katekeleza zaidi ya huo ufisadi.
Wapi safari ya kanani ikaongozwa na FaraoKamwambie farao haturudi tena misri tunaenda kanaani.