assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Kushiriki mdahalo hakuna uhusiano moja kwa moja na uwezo wako wa kutekeleza unayoyaahidi,kumbuka kuongea ni talent,na si ya kila mtu!,KUMBUKA DAVID CAMERON WA WINGEREZA ALIKIMBIA MDAHALO UCHAGUZI ULIOPITA NS BADO ALIPITA KWA KISHINDO!.
Ha ha ha ha ha ha ha! Fisadi wenu mwaka huu ataata maana hata kusimama ni shida.kwan ni lazima kwenda?
Kwani Tangu lini Lowasa ametekeleza jambo lolote zaidi ya zile ishu za ufisadi na Rushwa sema kama kunakingine katekeleza zaidi ya huo ufisadi.Ukiona mwanasiasi anaonge sana jus kuwa sio mtekerezaji wa mambo wanasiasa wasio na maneno kuwa ni wasimamiaji wazuri sana wa mambo hata baba anayesema sana na kujifanya mkali uwa sio muemeaji
LOWASSA hana muda mchafu kushiriki vidibeti vyenu! yeye yuko field na wananchi,soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri
option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.
sema ukweli hata kama unauma
Ukiona mwanasiasi anaonge sana jus kuwa sio mtekerezaji wa mambo wanasiasa wasio na maneno kuwa ni wasimamiaji wazuri sana wa mambo hata baba anayesema sana na kujifanya mkali uwa sio muemeaji
kwan ni lazima kwenda?
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri
option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.
sema ukweli hata kama unauma