mafundisho
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 388
- 136
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia chadema Mzee Lowasa kama ataendelea kubakia Chadema au Laa mara baada ya uchaguzi,watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.

Hivi kwa akili yako unadhani Lowasa anaweza kuwa na chochote kichwani mwake kuendesha siasa ukiacha masuala ya ufisadi ambayo ndiyo Taluma yake ya kusomea?
Mafisadi wako wangapi?mahakama ya mafisadi inakuja jipangeni na huyo fisadi wenu.
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia chadema Mzee Lowasa kama ataendelea kubakia Chadema au Laa mara baada ya uchaguzi,watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
Mnamzungumzia Rais wa nchi kama Nape ? ... Shame on you ...
Mahakama inakuja kweli, wajiandae kuchukuliwa hatua.
Lowassa ndie Rais oktoba 25.
Atastaafu uraisi 2025
Kumbe ccm bado wana hitaji kupokea makapi?