Lowassa kupigwa chini tena

Lowassa kupigwa chini tena

Mmezoea kutengenezewa hadi PhD. Kaulizeni nani kamsaidia kupata PhD pale Mlimani.

Leo magufuli kasema endapo akichaguliwa '' Samia Atakuwa mwanamke wa kwanza vice president duniani ''
magufuli kasahau au hajui au kateleza tena maana vice president wa Uganda 1994-2003 alikuwa mama Speciouza wandira Kazibwe...juzi tena katudanganya eti saddam alikwa rais wa libya, no kuwait....hahahahaha ndo maana yameamua kusema M4C yaani magufuli4civics...nakweli akasome civics urais sio wa kukaririsha takwimu....
 
Lowasa hakukatwa na ccm bali alikatwa na Kikwete, kwani hukusikia Mwandosya na Nchimbi wakitoa siri za vikao vya ccm. Lowasa jina lake lingeletwa mbele ya mkutano mkuu wa ccm angepeta kwa kura nyingi mno. Ila kwa upande wangu asinge pata kura yangu. Mimi siwezi pigia kura ccm hata nikishikiwa bunduki.
 
Leo magufuli kasema endapo akichaguliwa '' Samia Atakuwa mwanamke wa kwanza vice president duniani ''
magufuli kasahau au hajui au kateleza tena maana vice president wa Uganda 1994-2003 alikuwa mama Speciouza wandira Kazibwe...juzi tena katudanganya eti saddam alikwa rais wa libya, no kuwait....hahahahaha ndo maana yameamua kusema M4C yaani magufuli4civics...nakweli akasome civics urais sio wa kukaririsha takwimu....
mnamuonea magufuli tangu mwanzo alisema ni team lowassa, hii ni ksma kuokota embe kwenye mkorosho, hata yeye anajua hatashinda
 
Back
Top Bottom