asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
WASHAANZA MAZOEZI; WATATUUA KAMA SERIKALI ISIPOWAZIBITHI
![]()
Mrudisheni kwanza shule huyo kilaza.
WASHAANZA MAZOEZI; WATATUUA KAMA SERIKALI ISIPOWAZIBITHI
![]()
Mkuu mwaka huu kama tume itafanya kama ilivyosema na simu zipo matokeo tutakuwa nayo ya rais kwa kila kituo, kata, jimbo Wilaya na mkoa mapeema kabisa , na tutakuwa tunajua nani anaongoza mkoa fulani na kwa kura ngapi. Kama tukijiridhisha kuwa CCM imeshinda kihalali mkuu hakuna fujo yoyote itakayotokea. Fujo itatokea kama matokeo yaliyokusanywa vituoni yanaonyesha mshindi fulani lakini matokeo yanatangaza mshindi tofauti. Sisi wote ni Watanzania na tunaamini kuna maisha baada ya uchaguzi, chondechonde CCM kubalini matokeo.UKAWA wanafukuza upepo na kujitoa ufahamu
Nakumbuka zilipokua zinakaribia siku za uchaguzi ndani ya CCM wapo waliojipiza kama nyie wa leo juu ya Lowassa kwamba hakatwi mtu na alipokatwa walibaki vinywa wazi na vilio tele kwa sababu mirija ya ulaji ilikua imekatwa.
Na sasa mnajiapiza tena kwa kujitoa ufahamu kwenu eti hata iweje mtampa kura Lowassa hata awe mgonjwa vipi ahahahaa mpeni ila mjue atapigwa Chini tena kwa kura za wananchi safari hii baada ya 25 25th October. Mtulie kama mnanyolewa vile maana najua hamchelewi kutuletea fujo maana kwa maandamano tu hamjambo. ..
HAPA KAZI TU. .M4C. .MAGUFULI FOR CHANGE
Msikimbilie mabadiliko - Magufuli... .MAGUFULI FOR CHANGE
Kama hujui tamaduni za watu kaaa kimya, kwa akili yako hapo unaona watu wako ki shari!! wakati ndio kwanza wanajiriwaza kwa ngoma baada ya kutiwa umasikini na ccm??eti kilo moja ya pamba tsh. 600,wakati muwa tu uliopandwa nyuma ya bafu kipande tu 1000!!!eti mna nia nzuri na wananchi!!!!WASHAANZA MAZOEZI; WATATUUA KAMA SERIKALI ISIPOWAZIBITHI
![]()
Lowassa hawezi akawa rais,rais ni Magufuri
UKAWA wanafukuza upepo na kujitoa ufahamu
Nakumbuka zilipokua zinakaribia siku za uchaguzi ndani ya CCM wapo waliojipiza kama nyie wa leo juu ya Lowassa kwamba hakatwi mtu na alipokatwa walibaki vinywa wazi na vilio tele kwa sababu mirija ya ulaji ilikua imekatwa.
Na sasa mnajiapiza tena kwa kujitoa ufahamu kwenu eti hata iweje mtampa kura Lowassa hata awe mgonjwa vipi ahahahaa mpeni ila mjue atapigwa Chini tena kwa kura za wananchi safari hii baada ya 25 25th October. Mtulie kama mnanyolewa vile maana najua hamchelewi kutuletea fujo maana kwa maandamano tu hamjambo. ..
HAPA KAZI TU. .M4C. .MAGUFULI FOR CHANGE
Umejiunga august ili kula Posho za bure kwa kila pumba unayoandika !!
Magufuli is right choice but in a rotten cctm
Huu ndo ukweli. Watu wanaomiminika kwenye kampeni za Lowasa hawafiki hata laki 3 kila mkoa na hao wote si wapiga kura wake. CCM wana wapiga kura hadi vijijini ambaklo upinzani hata haujulikani kabisa. Naongea na mtu wa Mwanga huko Kilimanjaro anasema huko ni CCM tu. Naongea na mtu wa Mpwapwa Dodoma nako ni CCM tu na Lowasa hakufika huko kufanya kampeni. Kwahiyo CCM wamewafikia wapiga kura karibu wote nchi nzima. Ushindi ni mweupee kwa Magufuli.