walishalishwa limbwata!! au wana ukabila may be lile kabila LA ng'ambo!!Kuna nyumbu humu jf huwaambii kitu kuhusu huyo jamaa, wenyewe wanamuita "rais wa mioyo yao" hawa jamaa si wazima kabisa

Kwa hiyo Maalim yeye alikubali kununuliwa na Lowassa?