Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,070
- 151,324
Lowassa amelaumu tabia inayojitokeza ya kunyanyasa watu waliounga mkono upinzani. Mh.Lowassa amesema kuwa "anasikia" watu hao wanakuwa-harassed kwenye kodi,kwenye miradi na mitaani wanakoishi.
Mh.Lowassa pia amesema anashukuru alikuwa mvumilivu kwa kutowataka watu waingie mitaani kupinga matokeo ya uchaguzi kwani tungeuana.
Mh.Lowassa ameyasema hayo wilayani Monduli katika ibada ya shukrani iliyofanyika leo.
Chanzo: Channel 10

Last edited: