Lowassa kuitikisa Dar - Septemba 07, 2015

Lowassa kuitikisa Dar - Septemba 07, 2015

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,647
Reaction score
11,227
TAARIFA KWA VIONGOZI WOTE WA KATA PAMOJA NA MADIWANI WOTE WILAYA YA UBUNGO,

Jumatatu tarehe 07/09/2015,Mgombea Urais wetu mhe. EDWARD LOWASSA, Ratiba yake itakuwa J3 ATAKUWEPO KWENYE JIMBO LA KIBAMBA.

Hivyo kila viongozi twapaswa kushiriki Maandalizi yote.pamoja na kuhakikisha tunahamasisha WANACHAMA WETU PAMOJA NA WANANCHI WANASHIRIKI KWA WINGI.


ENEO LA MKUTANO NI MBEZI MWISHO STAND MPYA KULIA KUNA UWANJA MKUBWA.

MUDA WA MKUTANO Twapaswa asubui kuanzia saa tatu kuanza kufika MKUTANONI,

MKUTANO UTAKUWA UNARUSHWA LIVE kwenye TV ZOTE.

tuwahamasishe wananchi wote washiriki kwa Wingi sana.tuandaeni vikundi.vya hamasa kama NGOMA/TARUMBETA/NK,

HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE.

LOWASSSSAAAAAAAA📢📢📢📢📢📢📢📢,

KUMBUKA!!!!! MAKAMANDA WOTE MKOA WA DARE ES SALAAM... MSIKOSE MKUTANO HUU WA MGOMBEA URAIS.

MAdiwani wote 14 Wilaya ya UBUNGO Msikose mtanadiwa hapo/PAMOJA NA WABUNGE WA MAJIMBO YOTE KIBAMBA/UBUNGO.


PEOPLESSSSSS#

By PERFECT.J.MWASIWELWA,

KATIBU MWENEZI WILAYA UBUNGO.
(0713 530336)


Sambaza taarifa hii kwa group nyingi zaidi#
 
...yap rais anakuja kukandamiza mjini kisha anakula chopa tena...
 
...yaani kila anapoinua mguu bwana pombe tunapita kufuta uchafu wake...
 
Kesho mchana Saa saba atakuwa Mbezi Mwisho ya Kimara jimbo la Kibamba,nadhani pia atakuwa jimbo la kawe ila muda sijui
 
Saa 3 mpaka saa 7 atakua bunju
Saa 9 mpaka saa 12 jioni atakua mbezi mwisho
 
I like this : bandika, bandua mpaka makufuli yalegee na kujifungua bila hata kuhitaji funguo !!

Eti kama Libya, mnaofuja na kutuibia miaka yote hii ndiyo mnaogopa lkn sisi timeshaamua sasa basi ! Na timegundua mnaoendesha propaganda chafu na za uongo ni watoto wa hao hao wa EPA, KIgoda,ESCROW, Mabehewa mabovu, TPA, UDA, NBC, NMB, na sie wapumbav na malofa tumepania kuwaonyesha kuwa ulofa wetu ni mali na hizo kofia, kanga na skafu mtazivaa mkiwa keko na segerea !!

Tutataifisha hadi kuku wa nyama,sungura na mijibwa koko .....
 
Mabadiliko LOWASA .
Kesho ni zamu ya dar raisi mtarajiwa Edward Lowasa atakuwepo kusambaza upendo
 
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono chukia, vimba, vuta limdomo na upasuke mabadiliko yako pale pale mwaka huu
 
Nimesikia matangazo leo kuwa atakuwepo Bunju A.... hakika Lowasa ni noma yaani anakuwepo Dar afu anarudi mkoa, baadae tena anakuwepo Dar
 
Back
Top Bottom