Lowassa kuchunguza Ufisadi Meremeta!

If he has no interest in Meremeta's issue we can expect to get good results; but if the opposite is true, my friends don't expect anything.
 
By what stroke of genius,by what mazingaumbwe mkopo wa milioni 10 ukalipiwa milioni 132 ?
Hili ndilo tufahamishwe au is this asking to much of "our" goverment?
 

hapa kweli kesi ya mbuzi kapelekewa fisi sijui kama mbuzi atakuwa salama.
 
kampuni iliyosajiliwa na kufilisiwa Uingereza kuibukia Tanzania tena jeshini

cha kushangaza hata Brela haitambui jeshi/usalama kuwa wamiliki wakati huo huo ikionyesha ni ubia kati ya kampuni ya Afrika kusini na serikali ya Tanzania

utatanishi wa huu mchezo, kuna mahala walisahau kufuta nyayo
 
Jwtz limeanzishwa 1 sep 1964 with a very clear purpose and mission defend Tanzania and everything Tanzania.Ndio maana mipaka yetu ikivamiwa jwtz wapo kulinda nchi au daraja kilosa limebebwa na maji jwtz wanasaidia uokozi na ujenzi wa daraja jipya. Lakini hili la jeshi kujipenyeza katika biashara gold prospecting na mining linatia mashaka makubwa na kweli linakwenda kinyume na mandate ya jeshi .
 
Yeye mwenyewe FISADI.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Sintoshangaa ripoti akija kukabidhiwa &quot;Mtakatifu&quot; Luhanjo aitolee hukumu ya &quot;Haki&quot; kwa mujibu wa Mh. Ngeleja!<br />
<br />
Bongo tambaraaaaaree!Wera weraaaa!!
 
Pinda: "Ni bora nisulubiwe kuliko kutoa siri za Meremeta hadharani, kwani kufanya hivyo ni kuanika hadharani siri za JWTZ na Usalama wa Taifa." Nchi hii haina viongozi ndugu zanguni!

tteh teeh teeh! hii ni tanzania, eeeee Mungu tuhurumie watu wako
 
Lowasa, lowasa macho makavu na lawama,miguno na kashfa mgongononi akaichunguze Meremeta. Changa la macho waungwana, tuhesabu maumivu. kuna wenye haki ya kujua zaidi ya wengine, wanajua kwa niaba yetu si rahisi kwetu kupata ukweli wa hilo. Mereremeta ni gonjwa letu la ndani uchunguzi wa nini. ?
 

Mkuu RedDevil hii ni plan ya kumfanya EL kuwa mgombea urais na kumnyazisha mshikaji wake ,,******"for sure atafanya kweli kama alivyofanyiwa,Jino kwa jino na jicho kwa jicho.nothing to loose.no ritreet no sarender simply like that.Patam hapo ehe ehe ehe ehe teh teh
 
Safi sana. Nadhani atafanya maamuzi magumu. Tutegemee kitu hapo. Mimi namuamini Lowassa kwa maamuzi magumu. Huu mfupa umepata mtafunaji. Hakika nawaambia itatoka report ambayo wote mtashangaa na kuanza kumuunga mkono!!
 
mi naamini atafanya kazi kujisafisha mbona tunahukumu kabla hata kazi yenyewe hajaanza?? pia hayuko peke yake ana wabunge wenzake, naiminini huyu jamaa ataibua mengi na pia ndio mda wake wa kuiumbua CCM KAMA inahusika pia ktk sakata zima.
 
Just when you thought it's stopped raining, a hurricane has gotten under way...!!!
Du kweli mkuu, ni kama kupeleka mwizi wa benki kuchunguza alivobomoa na kuiba, halafu na kumwomba alete ripoti polisi jinsi alivyoshiriki.
Mwenye mali umekunja mikono kufuani na kusubiri kwa hamu!!!!!!!
 
our days will come, when there will be no lies any more, the days of true liberation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…