Bora hata wewe, ila pia kitu kama huelewi ungeuliza, SAPs hakusaini Lowassa alisaini Rais Mwinyi 1985, unawezaje kuwa na ubavu wa kuwakoromea wakati bajeti yenu yote inategemea mikopo na misaada yao?
Ni mtu mwenye maamuzi magumu tu atayeweza kutuepusha na hilo, ni lazima tujijengee uwezo kwanza utakaotusaidia kutokurely on their aids and loans na hapo ndipo tutakapokuwa na uwezo wa kutaka fairness kwenye mikataba na hili kama ulikuwa Arusha ndilo Lowassa alilosema ataanza nalo.