Hivi wewe una akili kweli?
naongelea ile akili ya kuzaliwa tuu, achana na ya shule au inayotokana na mazingira!!
Haiwezekani ukawa nunda kiasi hiki. Unawaangusha sana wanaokutegemea.
Nakuomba ndugu yangu ujitathmini.
Lowassa jizi kubwa. Mteteeni weeeeee lakini asubuhi na mapemaaaaa anatupiliwa mbali na Rais ajaye anampeleka kwenye hoteli ya nyota tano Segerea au keko. Mwizi mkubwa huyo
Ukiangalia nchi yetu jinsi ilivyo na changamoto tulizonazo kuhisiana na ustawi na wa Taifa letu vi vema tukawa na kiongozi mwenye hulka ya maamuzi magumu sana zaidi awe mchapakazi hodari wa kupigiwa mfano hata record yako iwe inamshuhudia hivyo,Kati ya wote waliotangaza nia mtu ambaye watanzania wameonyesha kuwa anaweza kubeba jukumu hilo si mwingine bali Edward Lowassa,Huyu ni mchapakazi anayejipambanua kwa namna yake na kizuri ni ambaye anaamini sana kile ambacho anakisimamia pasi na mashaka yoyote ile.CCM inatakiwa iwatendee watanzania haki yao ya msingi kwa yule ambaye tumeona anaweza kutuvusha ng'ambo ya maendeleo na zaidi wazingatie ushauri wa mwenyekiti wao JK kuwa wasifikiri kwamba eti mgombea akichaguliwa na CCM basi amepita zama hizo zimeshapita kitambo sana na wananchi sasa wanaelewa vilivyo kwani wanaopiga kura wanafika zaidi ya watu million 19 au 20 kama wote wakijiandikisha na kupiga kura.Tafakari
Tuondolee umasaburi wako hapa, umelishwa hela za Ghadafi unmekuwa tahira, nenda chalinze kalambe masaburi ya Prince
Dua La kuku halimpati mwewe na tuhuma za kipuuzi zisitunyime kiongozi bora 2015
Tafakari chukua hatua
LOWASSA THE COMING PRESIDENT OF TANZANIA
Alimuiba nani yako mkuu? tuoneshe picha ulizonazo kama ushahidi ili tuamini.
Lowassa ni fisadi asiyestahili kuliongoza Taifa letu, huyu mtu anayetaka kuhonga mabilioni ya pesa za kifisadi ili aingie Ikulu ni wa kuogopa kama ukoma.
Kama picha za wizi hazipo au hazijawekwa, kwa hiyo siyo mwizi?! Sina muda sana wa kujibizana. Tusubiri NEC na CC wamalize kazi. Mnaitaka Ikulu kwa nguvu ya kila aina lakini mtaambulia patupu
Inashtua sana kijana kama wewe kutoa maneno kama hayo, natumaini wote wanaongia JF wameenda shule. Uwezi kumshambulia mtu bila proof. Kubwabwaja maneno waachie waimba taarab, weka facts. Hii ndio safari ya matumaini.