Lowassa, kifo cha CHADEMA

Lowassa, kifo cha CHADEMA

Unamaanisha CCM inakufa kabisa? Mi naamini CCM ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani maana Chadema inaenda kushika dola! Ni imani yangu tu.
 
Unamaanisha CCM inakufa kabisa? Mi naamini CCM ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani maana Chadema inaenda kushika dola! Ni imani yangu tu.

Imani yako imepimwa katika mzani na kuonekana kuwa ni batili
 
Hatimaye ujio wa Lowassa umesababisha kuwe na kila dalili ya CHADEMA kupotea katika Ulimwengu wa siasa za Tanzania.

ACT wazalendo kinaweza kuwa chama kikuu cha Upinzani.

Elimu
Elimu
Elimu
Lowassa hajakosea.
 
Hatimaye ujio wa Lowassa umesababisha kuwe na kila dalili ya CHADEMA kupotea katika Ulimwengu wa siasa za Tanzania.

ACT wazalendo kinaweza kuwa chama kikuu cha Upinzani.
nifah--- mwingine huyu hapa.

Naomba sana chunguza hawa members utaelewa namaanisha nini!!!

Wewe pia unataka pesa za haraka haraka, chukua vipande vyako tambaaa...
Ila nakwambia siku ukianza kulipia bills maishani kwako, itakuingia na kuaa vema.
 
Last edited by a moderator:
hatimaye ujio wa lowassa umesababisha kuwe na kila dalili ya chadema kupotea katika ulimwengu wa siasa za tanzania.

Act wazalendo kinaweza kuwa chama kikuu cha upinzani.

chadema hakijawahi kukuwa kama kilivyo sasa
 
Unamaanisha CCM inakufa kabisa? Mi naamini CCM ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani maana Chadema inaenda kushika dola! Ni imani yangu tu.

Subirieni baada ya uchaguzi mmenunuliwa mtajut
 
Ni kawaida mmea ukikosa maji hufa!au ukiumwagilia kwa maji yenye sumu (ie chumvi) napo hufa!Chadema kinakufa kikiwa kichanga kwa sababu ya kutiliwa maji yasiyofaa
 
Chadema haitabaki salama baada ya uchaguzi wa mwaka huu.
 
Back
Top Bottom