Alikuwa wapi siku zote?
Ha ha ha ha Mkuu tuache Wapumbavu na kipenzi chetu wewe shugulika naAlikuwa wapi siku zote?
Alikuwa wapi siku zote?
Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani nilikuwa na watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu
Alikuwa wapi siku zote?
alikuwa wapi siku zote?
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na MagufuliUlitaka ampindue kikwete? Muda wake ndio huu chamuhimu lizabon chamsingi mshauri magoful nae ajaribu tuone kama hato zomewa
CCM inadhani kuwa Watanzania tutaendelea kuwa vipofu daima.Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi