Lowassa kakosea, why now?

Lowassa kakosea, why now?

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Kitendo alichokifanya Lowassa kuonyesha bashasha na watu wanaokamata wabunge wa chama chako Lema yupo ndani, Mwalimu kakamatwa, Lissu anakesi kibao, Sugu alikamatwa unaipataje furaha ya kuhag na Kinana, kujichekesha mbele ya rais. Even president alishangaa yote ninayowafanyia lakini hajastuka is a miracle.

Lowassa aangaliwe asije akawa usalama akatuchora tu kumbe anadisplay upande wa pili, tahadhari muhmu kwa kuzingatia aliyoyafanya bwana Augustine Mrema.

Watu tunajiandaa na UKUTA wewe unajichekesha na watu ambao tarehe moja huenda wakatuvunja viuno kama si kutufunga bila kesi.

Lowassa katika mazingira haya smile kwa Kinana na Rais Magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#
 
kitendo alichokifanya lowasa kuonyesha bashasha na watu wanaokamata wabunge wa chama chako Lema yupo ndani,mwalimu kakamatwa,lisu anakesi kibao,sugu alikamatwa unaipataje furaha ya kuhag na kinana,kujichekesha mbele ya raisi. even president alishangaa yote ninayowafanyia lakini hajastuka is a miracle.

Lowasa aangaliwe asije akawa usalama akatuchora tu kumbe anadisplay upande wa pili,tahadhari muhmu kwa kuzingatia aliyoyafanya bwana Augustine mrema

watu tunajiandaa na Ukuta wewe unajichekesha na wstu ambao tarehe moja huenda wakatuvunja viuno km si kutufunga bila kesi
Alikuwa anasmile kwa sababu amegundua kwamba IT IS EASIER TO SMILE THAN TO TELL WHY YOU ARE SAD. Siku hizi anachagua mambo rahisi hataki tena kufanya mambo magumu.
lowasa katika mazingira haya smile kwa kinana na magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#
 
Mleta uzi wewe ulitaka kama kaalikwa asiende; na kama akienda asisalimiane na watu kisa ni wa chama chake cha zamani? Kumbe hufahamu kuwa lile tukio lilipangwa vizuri ili kukutanisha "mahassimu" ili kuona kama amani itadumishwa ifikapo sept mosi?

Hivi kweli kuna madhara gani mahasimu kukutana na kusalimiana kwa furaha na bashasha hata kama kuna machungu mioyoni?

Hebu tumuige mzee wetu EL na sisi tuwe tayari kwa maandamani na mikutano ya UKUTA ifikapo sept mosi.
 
Lowasa kapewa "charm offensive" kaingia mzimamzima!

Najiuliza, kwa nini mtu aandamane ili kina Lowasa wapate nafasi ya kufanya mikutano, wakati Lowasa mwenyewe ana rub shoulders kwa bashasha tele na hao wanaominya demokrasia?

Sasa kama anaweza kukutana nao na kuzungumza nao, si akawaambie mwenyewe kuhusu haki ya mikutano badala ya kututaka sisi tuingie mabarabarani?
 
Lowasa kapewa "charm offensive" kaingia mzimamzima!

Najiuliza, kwa nini mtu aandamane ili kina Lowasa wapate nafasi ya kufanya mikutano, wakati Lowasa mwenyewe ana rub shoulders kwa bashasha tele na hao wanaominya demokrasia?

Sasa kama anaweza kukutana nao na kuzungumza nao, si akawaambie mwenyewe kuhusu haki ya mikutano badala ya kututaka sisi tuingie mabarabarani?
zile Picha zimedisplay tafsiri nyingi sn
 
Ukitafakari utagundua sherehe hizi za Ben ZIMEWAVURUGA zaidi CCM na hasa baada ya Mwenyekiti kusema ule ni MUUJIZA,sisi watu wa ROHONI tumebarikiwa sana kwa tendo hili la John na Efward kupeana MIKONO
 
Back
Top Bottom