Mhe. LOWASSA amevuna alichopanda kwani wajanja wenzake wamefanya kile ambacho hakutarajia.Hiyo ndio demokrasia ya CCM ambyo mpigaji kura lazima kama ni wew uliyepiga kura ya hapana.Unayempigia anakufahamu ulimkataa na ndio maana Mhe JK amesema wale waliompigia kura 2 za hapana atawashughulikia.OLE WAO.DAWA NI KUONDOKA CCM.